Umetaja sifa nzuri anazostahili kuwa nazo rais wa hii nchi kwa sasa, bahati mbaya sana uliempendekeza hana hizo sifa ulizozitaja...majaliwa ni muoga, hana maamuzi binafsi, anayumbishwa...rejea jembe hayati Magufuli...huyu utukutu wake ulionekana tangu akiwa waziri...mzee kikwete anamjua vzr maana kuna baadhi ya maagizo yake aliyapinga, kauli ya kikwete wakati akiapishwa Magufuli " mlisema mm ni mpole..,sasa nimewaletea mkali kweli.."Majaliwa sio kwamba ni muoga ila mfumo unambana kwa nafasi yake yaani ni kama anatengenezewa mazingira awe hivi tunavyo muona.
But believe me, Majaliwa anauwezo mkubwa wa kuongoza hii nchi.
Hii nchi kwa ilipofika haitaki kiongozi lelemama inataka kiongozi ambaye atasimama kama kiongozi kweli regardless dunia itamtazama kama dictator or not .
Most ya nchi nyingi za Afrika mfumo wa kuongoza ulio bora ni udikteta mambo ya demokrasia ni uongo na kuendeleza umaskini
Huyu huyu wa DP World au kuna mwingine?Only Dr Samia
Muoga tu hana loloteMajaliwa sio kwamba ni muoga ila mfumo unambana kwa nafasi yake yaani ni kama anatengenezewa mazingira awe hivi tunavyo muona.
But believe me, Majaliwa anauwezo mkubwa wa kuongoza hii nchi.
Hii nchi kwa ilipofika haitaki kiongozi lelemama inataka kiongozi ambaye atasimama kama kiongozi kweli regardless dunia itamtazama kama dictator or not .
Most ya nchi nyingi za Afrika mfumo wa kuongoza ulio bora ni udikteta mambo ya demokrasia ni uongo na kuendeleza umaskini
Lisu siku akiwa rais ataanza kulipa visasi kwa hadi waliyomuibia kuku miakacya 80 huko 😂Tundu Lissu, huyu anaifaihamu vizuri tanzania ndani na nje ya nchi. Ni nguli wa sheria hasa kwenye mikataba ya kimataifa mizuri na mibaya. Anaweza kuwa rais bora
Kwanini unasema ni muoga?Muoga tu hana lolote
Vipi polepole naye??Umetaja sifa nzuri anazostahili kuwa nazo rais wa hii nchi kwa sasa, bahati mbaya sana uliempendekeza hana hizo sifa ulizozitaja...majaliwa ni muoga, hana maamuzi binafsi, anayumbishwa...rejea jembe hayati Magufuli...huyu utukutu wake ulionekana tangu akiwa waziri...mzee kikwete anamjua vzr maana kuna baadhi ya maagizo yake aliyapinga, kauli ya kikwete wakati akiapishwa Magufuli " mlisema mm ni mpole..,sasa nimewaletea mkali kweli.."
MimiNdani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka
Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka
Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake
Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote
Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie
Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030