Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Aendelee aliyepo,Maana nimekumbuka Jiwe wakati anaomba idhini,alikuwa mpole na"siwaangusha"nyingi Hadi pushups zilipigwa.Shetani unayemjua ni Bora kuliko malaika usiyemjua.
 
Kwangu mimi bila unafiki nchi hii kuanzia Chama tawala na upinzani wanaofaa kuwa Raisi /top viongozi
1.Kassimu majaliwa (Huyu apewe nchi )
2.Hussein mwinyi Dr ( apewe Zanzibar)
3.Luhaga Mpina ( Apewe umakamu wa Raisi au uwaziri mkuu)
4.Dr Tulia Ackson (Abaki kuwa speaker )
Hao wote hawafai at least Mwinyi...urais hauhitaji mihemko
 
Nani kasema? Mimi nalinganisha waliopita na hao mnaowapendekeza Sasa shida Yako ni ipi?
Wanaopendekezwa asilimia kubwa hawafai sababu wamezalishwa kwenye mfumo ambao ni mbovu...mzuri hatakiwi kutoka kwenye mfumo huu tulionao
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030

———————————————————————————
———————————————————————————
———————————————————————————




mpaka sasa mapendekezo mengi yanaenda kwa LUHAGA MPINA

Who is MPINA—- ntakuletea video zake akiwa ananguruma akiwa bungeni

LUHAGA MPINA
Mimi Mnafiki Wa Kujitegemea.
 
1. Antony Mtaka
2. Bashiru Ally
3. Josephat Gwajima
4. Dr Mpango
5 Tundu Lisu.
6. Luhaga Mpina
 
Back
Top Bottom