Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Ambatanisha sifa, huu ni uzi ni chakula cha ubongo pia.
Ni jasiri na mzalendo.
Kwa Tanzania ilipofika kama kiongozi sio jasiri kwenye kutoa maamuzi hawezi kuiongoza hii nchi.
 
Kwa Katiba mbaya tuliyonayo hapa Tz, hata umpendekeze nani awe Rais, hawezi kufaa kitu. Kwa meli mbovu, iliyotoboka na kuwa na matobo makubwa, hata ubadilishe manahodha mara milioni, lazima itazama tu, haiwezi kunusurika na kufika pwani.
Siungi mkono hoja yako, vitu vinawezekana . Akipatikana mtu sahihi mwenye maono basi taratibu hata kwa mwendo wa kinyonga njia inatengenezwa
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030
Hivi kuna uwezekano tupige kura ili Tanganyika bara,iwe moja ya majimbo ya USA?..halafu huyo tunayemchagua(RAIS) awe ni gavana......labda tungepata unafuu wa maisha,........Najaribu kuwaza ki uwenda wazimu.
 
Yaani huyo wa pili Daah..! Hii nchi kweli ni ya kuionea huruma sana. Yaani kuna watu wanamfikiria huyo mtu awe rais kweli?. Hii nchi kweli ni ya kuionea huruma
Hata kwa kuangalia utendaji wa January kwakweli huyu hata usingizini ni big NO.
 
Hoja yako ina mashiko kwangu mimi, huwa nasema uongozi siyo lelemama. Laiti hii falsafa ingetiliwa maanani tungekuwa mbali. Ajabu uongozi imekuwa fursa, ikimaanisha mwenye sifa na asiyekua nazo wote wapo ndani, unaweza ona matokeo yake ndiyo uozo uliojengeka ktk system nzima.
Uongozi unataka mtu anayejua kuchuja mambo na sio mtu anayepelekeshwa na hoja za ovyo.
Bahati mbaya zaidi kwa nchi kama Tanzania akitokea mtu wa hivyo sisi wananchi ndio tunakuwa wa kwanza kumpinga badala ya kumsupport matokeo yake ndio haya Nchi inanuka Rushwa as if TAKUKURU hamna, Nchi inanuka wizi na ubadhirifu as if serikali hamna.
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030
Sasa Kuna nani wa kumzidi Samia huko ccm Kwa Sasa?
 
Mimi nafikiri hatuhitaji majina tunahitaji tufumue katiba nakutengeneza mifumo kiasi kwamba hata mtoto wa la pili alipewa nchi anatoboa angalia marekani nchi hata apewe kichaa hakuna kinachoharibika serikali iwe serikali, mahakama iwe mahakama na bunge Liwe bunge na cag awe CAG yaaan hapo kichwa hakitauma vinginevyo hapo ata ake Nani bado tunapiga mark time tu mpaka kutakucha
Una hoja, nadhani hii inaweza ikawa mada nzuri sana ikisimama yenyewe.
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030
Kishimba
 
Tundu Lissu, huyu anaifaihamu vizuri tanzania ndani na nje ya nchi. Ni nguli wa sheria hasa kwenye mikataba ya kimataifa mizuri na mibaya. Anaweza kuwa rais bora
Hafai,kuwa Mwanasheria mahisi ni tofauti na kuwa Kiongozi
 
Mkuu, binafsi namtazama kishimba kama mtu mwenye maono.
Kishimba ana expose na ameelimika ingawa hajasoma.
Kishimba anahitaji washauri wazuri na miongozo michache ili aweze kutosha kwenye kiti kama Rais
Ameshindwa kubadili ufugaji hayo maono ni yapi? Tusaidie tuyajue
 
Majaliwa anafaa kuwa Rais.

Makamu wake awe Jenister Muhagama.

Waziri Mkuu wake awe Polepole.

Tutapaa...
Labda mpae downwards ,Tangu lini Wajamaa wakapaisha Nchi? Mmjawapo wa hao akiwa Rais hakuna mtu ataweka pesa zake banki kama mnadhani ni mzaha karibuni anyone tuone
 
Back
Top Bottom