Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Mkuu.....
Kwasasa Tanzania inahitaji Rais anaezijua changamoto zinazolikabili Taifa. Zipo changamoto nyingi sana za kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata kiutamaduni.
Na sio lazima Rais awe mwanasiasa, bali mfumo wa Tanzania unamtaka mgombea urais lazima apitie kwenye chama cha siasa hata kama sio mwanasiasa.
Nimekupata.

Kwa mazingira ya Tanzania, mtu ambae kazi yake sio siasa. Kupata uungwaji mkono hadi kufikia kugombea Urais.
Inahitaji nguvu kubwa sana.
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030
Kwa Katiba mbaya tuliyonayo hapa Tz, hata umpendekeze nani awe Rais, hawezi kufaa kitu. Kwa meli mbovu, iliyotoboka na kuwa na matobo makubwa, hata ubadilishe manahodha mara milioni, lazima itazama tu, haiwezi kunusurika na kufika pwani.
 
Kwasasa Tanzania inahitaji Rais anaezijua changamoto zinazolikabili Taifa. Zipo changamoto nyingi sana za kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata kiutamaduni.

Mimi kwa maoni yangu napendekeza wafuatao:

1. Dr. Elia Wilinasi
2. Luhaga Mpina
3. Tundu Antipasi M. Lissu
4. Dr. Hussein Ally Mwinyi
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030
Mpina
 
Cabinet ya ccm ya Sasa ya akina January makamba,mwigulu, kikwete,nk humo hakuna Raisi nasema hakuna presidential material humo tupakuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,nje na cabinet namuona pole pole katika upinzani Tundu antipas lissu
 
Tatizo sio mtu bali wanaomsaidia
Tukipata Rais na mawaziri waadilifu labda
Rais ndio overall kwa katiba yetu hii, Rais akiwa yupo kwenye mstari mawaziri, wabunge na watumishi wote wa serikali watanyooka.
Nchi nyingi za kiafrika Rais ndio nchi hivyo Rais akiwa hovyo tegemeeni nchi ya hovyo.
 
Ndani na nje ya chama tawala nani? Angefaa kuliongoza hili taifa pendwa bila migogoro ya ovyo nani? Mnayemwamini kupita kiasi ambaye ataweza kuifikisha nchi yetu kwenye maendeleo ya kueleweka

Tuna watu wengi na makini sana kwenye taifa letu na wengine wanaonekana kabsa hawana uchu wa madaraka wamewaachia wenye uchu watoane roho na kuvuana utu na wana elimu ya kutosha ya uongozi na vipawa vikubwa vya kusikilizwa na kueleweka

Nani? Ungependa awe raisi wa Tanzania ambaye unaamini lazima atafanya vizur kwenye uongozi wake

Kizuri hakikosi kasoro hatusemi kama atafanya mazuri 100% hapana lakini at least 80-85% tutajie hapa nani? Anaweza kulisongesha gurudumu hili Kwa nguvu zote

Taja unayemwamini hata kama hajawahi kuwa mbunge au waziri labda ni diwani huko wewe mtaje!! Tu au labda aliwahi kuwa hata raisi miaka iliyopita tutajie

Na ukimtaja kwa chaguo zuri utaweza kukutana naye kwenye kinyang’anyiro cha uraisi 2025-2030
Kasim Majaliwa
Dr Hussain Mwinyi
Humphrey Polepole

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Dr samiah
Nape
Mwigulu
Ridhiwani
Makamba

Nina imani hawa wakipewa nchi tutafika nchi ya ahadi hasa Mama samiah tukiwa na imani naye 2030 ikibiidi aongezewe muda hata kama hataki.
Huu Uzi kumbe sio wa kuupitia. Wa ovyo. Naumia sana kwa ajili ya hii nchi. Kwa watu kama hawa ndio wapiga kura?. Kikombe hiki kiniepuke
 
Back
Top Bottom