Nani unamwona kama Great Thinker hapa JF?

Umeongea kitu kikubwa... Nita schedule hii post kwa siku nyingine

Thanks brother
 
Mimi ni mmoja wao shida labda ni wadau wanashindwa kuelewa nini naeleza ama nini msimamao wangu

Asante
 
Mi sijajilinganisha nimetoa maoni yangu GT ni huyo niliyemmention..!! Ndiomana hakuna aliyepinga 😹
Yeye sawa ila wewe kudhani kila member ni kama wewe ni kujipa kulia minyama sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…