Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
@bishanga na Lizzy
nisisikie mtu analia, mshaanza kuongelea mabelt.
Si bora kulia. . .
Ishu ni presha kupanda na kushuka.
@bishanga na Lizzy
nisisikie mtu analia, mshaanza kuongelea mabelt.
GeeCee embu anza kutafsiri sasa. . . .
Wapi?
Kwa mfano,matamshi yapi Lizzy? I am here for you..
we Lizzy wewe, subiri,one day yes.Hehehehe. . .
Nadhani nimemloga kwa kumtaja taja mume wangu. . .nae anatamani apate mtu wakumtaja taja hata asipokuwepo.
@Byshanga. . .
Hata ukiwa na red haibadilishi the fact kua yeye ndie "gentleman" wangu.
Yooooote. . . . .
we Lizzy wewe, subiri,one day yes.
Lizzy,kwa hiyo nikifa kwa presha kwako poa tu?
Ah.. Basi ni salamu tu... Na kusema kwamba Lizzy anajua whereabouts za Michelle..na kwamba kuna memba anaitwa Amyner..
Bamuleta,
Bamuleeeta,
Bamuleta Amyner lutambukage,
Naluga omumalembo.....
Akanana, akanana kalile kona
akalile akalile bigaxyztqrsdh
Unishtaki kwa nani? Kwa Musimo jr?
du! Kila ukitongonzwa utaenda kushtaki kwa Mr?
Yaani nimesisimka mpaka kimwaga mkojo changu kimegoma kufuata sheria bila shuruti.Ahadi ni deni....nimerudi na majibu yangu Bishanga sijakupotezea.
Nitawataja wachache tuuu ambao kwakweli nikifungua thread yoyote bila kuona michango yao roho huwa inasononeka sanaaaaa na kukosa usingizi kabisaaa. Wa kwanza kabisaaaa KONGOSHO akifatiwa na:- Bishanga, NN,Husninyo, SL, Smile, Asprin, Mtambuzi(Nyie watu huwa mnanifanya nipaliwe kama na kitumdomoni serious!), AfrdoD, The finest, Lizzy, Mwali, Preta, Mamndenyi,Kingasti, AshaD, Kipipi(naomba niwe nakuita Kipipi wangu,haijalishi jinsia yako....aiiii wewe kubaliii basi) My husband(anajijua)+mke mwenzangu(anajielewa), The Boss(huyu sijui kapotelea wapi siku hizi).
% kubwa ya wana JF nawapenda kwa ujumla ni wachache huwa wananikwazaaaa ila huwa nawapotezea......ni mambo ya kawaida katika jamiii.
Bishanga rudi hapa haraka sana utuambie unaemgwaya nani?????
Kwa mtaji huo mmeo atagombana na wangapi? Maana humu jf mmmmmhhhhh......
Yaani nimesisimka mpaka kimwaga mkojo changu kimegoma kufuata sheria bila shuruti.
Hebu Come this way Yum... Yum...Yummy.
Nakukaribisha kwenye familia yangu.
Ukaguzi kwanza kama kawaida.