gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
Mwenyewe gee cee!
Nambrrieee Amyner..
Mwenyewe gee cee!
Nambrrieee Amyner..
mwanamke yeyote mwenye malezi mema haaniki matatizo ya familia,we wajua nami najua mzee yuko wapi sa hizi.
Mlitupoteza kwa muda na kilugha chenu..
Ni kweli... Huenda nyie kilugha chenu hakiandikiki.. Au..
mwambie Lizzy kuna kitu nataka nimnong'oneze plizz.
Hehehehe kumbe unaogopa kupigwa ehhh?
Ni kweli... Huenda nyie kilugha chenu hakiandikiki.. Au..
Cha kwetu maandishi yake kama yakiarabu. Utakimbia bure!
@bishanga ntawasamehe mkiniimbia nyimbo ya kihaya..
kwani, umeroga Bishanga na 'massage'?
Hasikii kabisa leo.
Bamuleta,
Bamuleeeta,
Bamuleta Amyner lutambukage,
Naluga omumalembo.....