nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

Wewe unataka kupigwa ehhhh?Sitaki kuanza kukanda watu vidonda mie saa hizi.
bishanga apigwe na nani?kkaribu masaki kwenye dojo langu linaitwa fangshuhgwei,ukifika sema unataka kumwona sensei bishanga.(ukitaka njoo na mmeo nimpe demo).
 
bishanga apigwe na nani?kkaribu masaki kwenye dojo langu linaitwa fangshuhgwei,ukifika sema unataka kumwona sensei bishanga.(ukitaka njoo na mmeo nimpe demo).

JF's post of the day! Ha ha haaa....
 
Aliyo akaisiki ako baikweta Amyner.. Is'ako.. Toikukabona okwo mulwehya..?
nti kona kona akalandabao ,yaba ngabi,kaba kami,yaba mpofu,bishanga abashaija ninshakula bushai.
 
bishanga apigwe na nani?kkaribu masaki kwenye dojo langu linaitwa fangshuhgwei,ukifika sema unataka kumwona sensei bishanga.(ukitaka njoo na mmeo nimpe demo).

Tupo kwenye kipindi cha HANIMUNI. . .hatuna muda wa kuzurura bila mpango.
 
omuhaya ati omushaija lubingo otigala nilumela,bona ndabaa enshanduke.

Ha hahahahaaa

waitu aoo... Washag'eenyomyo... But waitu at around saa mwenda kileki...

Manti nomanya okwo kileki nkonkwo kili public holiday...
 
Nikubembeleze wakati mume wangu anabembelezwa na nani?
hivi shoga yako AD hajakwambia baba chanja wako ana nyumba ndogo? Hivi muda huu anabembelezwa huko,kalaghabao.
 
hivi shoga yako AD hajakwambia baba chanja wako ana nyumba ndogo? Hivi muda huu anabembelezwa huko,kalaghabao.

Anabembelezwa huko wakati kalala fofofo hapa pembeni yangu? Usinchekeshe Bishanga.
 
Back
Top Bottom