nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

Hivi akija mtu akisema "Mimi Gaijin nna miliki helikopta" au "Mimi Gaijin, helikopta ile ni yangu mimi," maana yake ndio ninamiliki kweli?

Hakuna kitu kama hicho. Mwanamme yoyote iwe humu JF au huko mtaani, hawezi kumilikiwa na asijue. Na akisema hajui maana yake anataka kukudanganya tu.

Mtu anapokuja hapa na kusema repeatedly "Fulani ni wangu," kisha huyo Fulani asimkane, ni dhahiri kuwa yeye anamilikiwa.

Sasa anapojifanya hajui kuwa anamilikiwa ni kujitoa fahamu tu.....anajua vizuri sana

Mtu atakupinga kwa vigezo vipi sasa? Kua huna uwezo wa kumiliki helikopta?Kua huonekani/fananii na mmiliki wa helikopta?

Hehehehe. . . hiyo ya kusema huyu wangu sijaona ila hua wanaact. . .mpaka wahusika wanabaki kujiuliza "kulikoniiiiiiiii?!"
 
Hawezi kunipinga kuwa similiki helikopta lakini haifuti ukweli kuwa sina helikopta. Hoja ya msingi ni kuwa mtu anaweza kusema chochote, lakini haimaanishi kuwa ndio ukweli

Sasa hao wahusika ndo wanakutafuta na kukwambia kuwa wanajiuliza "kulikoniiiiiii?!" au wewe huwa unajuaje?

Na utathibitisha vipi kuwa hajamilikiwa?
 
Huo "ukweli" si mpaka mtu awe na uhakika nao? Maana mtu aloanza kukujua mwaka juzi hawezi kukupinga/katalia kwa uhakika hata kama unaishi kwenye mbavu za mbwa.

Hayo mengine yapo. . . Ngoja ntamwomba mhusika mmoja afunguke.
 
Haya tunasubiri mhusika afunguke tumsikie

Manake unaweza kukuta mtu anadhani kuwa jamaa kamfia kumbe hollaaaaaa........
 
Huo "ukweli" si mpaka mtu awe na uhakika nao? Maana mtu aloanza kukujua mwaka juzi hawezi kukupinga/katalia kwa uhakika hata kama unaishi kwenye mbavu za mbwa.

Hayo mengine yapo. . . Ngoja ntamwomba mhusika mmoja afunguke.
kama ni bishanga nitaje niko tayari kufunguka.
 
Sio wewe ulosema siwezi kukuliza? Sasa nikubembeleze kitu gani?
hakuna binadamu hana soft side bana............nikune plizzzzz nawashwa mgongo chini ya bega siwezi kupafikia.
 
Wewe unataka kupigwa ehhhh?Sitaki kuanza kukanda watu vidonda mie saa hizi.
 
Back
Top Bottom