nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

Hii ngumu kumeza

Hakuna mwanamme anaemilikiwa na mwanamke kisha asijijue ever.

Kama kuna alowahi kukwambia hivyo kakudanganya
Wapo aisee. . . Tena sio wanaume peke yao.
Mwenyewe nimeona. . .
 
ntampamba sana tu
ila ujue hawajui kiswahili vizuri
unaweza dhania anakugombeza kumbe ndio kawa very romantic

akiwambia 'rara nikurenge'
kwetu sie is more than romantic aisee
Hahahahaha. . . Nimeanza kumuelewa sasa maana hata bembeleza yake ni mpya kwangu. Ila inanoga maana sijazoea. . .

Ngoja ntamtambulisha kwa dada'ke uwe unamnyoosha nyoosha every now and then.
 
Wapo aisee. . . Tena sio wanaume peke yao.
Mwenyewe nimeona. . .

Hebu tupe mfano ndo inakuwa vipi hiyo ....maana haingii akilini kamwe

Tuanze na hapo mwenyewe ulipoona
 
Hehehehe sitaki kugusa interest za watu kwahiyo za hapa JF napotezea.

Dada yangu alishakuziwa mambo na mshkaji aliyekua anamtaka. Alifanya mpaka akapata mawasiliano ya ambae ndo alikua mpenzi wake akaanza kumkanya na kumtisha kua aachane na mchumba wake. Kuna watu wanajimilikisha wenzao bila hata kuwapa taarifa. Hata akicheka na mdada/mkaka mwingine full kununa. . .
 
Waitu nimbona okwo nofumora na Lizzy...

Waitu ethread endijo obaile nomuiga Michelle...
 
Hehehehe sitaki kugusa interest za watu kwahiyo za hapa JF napotezea.

Dada yangu alishakuziwa mambo na mshkaji aliyekua anamtaka. Alifanya mpaka akapata mawasiliano ya ambae ndo alikua mpenzi wake akaanza kumkanya na kumtisha kua aachane na mchumba wake. Kuna watu wanajimilikisha wenzao bila hata kuwapa taarifa. Hata akicheka na mdada/mkaka mwingine full kununa. . .

Duh! Kwa hiyo unataka kusema hapa JF zipo hizo na unawajua wanaomilikiwa bila wao kujijua?

Huyo dada yako hakuwa akimilikiwa na huyo mwanamme, wala hakuwa mtu wake. Kwa hiyo hahesabiki kuwa alikuwa anamilikiwa na mtu kisha yeye mwenyewe asijue. Kwa sababu huyo alokuwa anammiliki alikuwa akijua fika kuwa hammiliki bali anataka kufanya hivyo.

Kwa hiyo bado tupo pale pale, hakuna mwanamme anaemilikiwa na mwenyewe asijijue. Sasa hao wa JF watakuwa ama wanajidanganya au wanadanganya potential prays wao kuwa hawana wenza......lakini wanajijua fika status zao zikoje
 
Hehehe. . . Tuishie hapo kwenye swali.

Angekua haja'mmiliki' asingemuita mchumba WAKE YEYE. Unapoweka 'wangu/yangu/changu' mbele ya kitu fulani maana yake ni mali yako. Sasa kama miliki yenyewe haifahamiki hata kwa anaemilikiwa ndo hapo mwanzo wa kuingizana kwenye ajali za tindikali.
 
Hivi akija mtu akisema "Mimi Gaijin nna miliki helikopta" au "Mimi Gaijin, helikopta ile ni yangu mimi," maana yake ndio ninamiliki kweli?

Hakuna kitu kama hicho. Mwanamme yoyote iwe humu JF au huko mtaani, hawezi kumilikiwa na asijue. Na akisema hajui maana yake anataka kukudanganya tu.

Mtu anapokuja hapa na kusema repeatedly "Fulani ni wangu," kisha huyo Fulani asimkane, ni dhahiri kuwa yeye anamilikiwa.

Sasa anapojifanya hajui kuwa anamilikiwa ni kujitoa fahamu tu.....anajua vizuri sana
 
Back
Top Bottom