Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

Bahati mbaya huyu dogo akawa rais,itakuwa bora ya Jakaya kwa safari. October aliitembelea ulaya kwa wiki nzina na ushee! Akarudi home,wiki iliyofuata akachomoka kwenda Ujerumani. Juzi napo Juba.haka kajamaa hakafai kabisa.HIYO NAFASI YA N/KM APEWE BENSON SINGO KIGAILA.
Hapa kwenye red nadhani weng wamependekeza hivi, tusubiri siku 14.
 
Kwa watu makini kama Prof. Safari na Baregu sidhani kama wataendelea kuwapokea CDM!
 
Mtaropoka sana. Ila kwa hili mmeshindwa,jamaa yenu huyoo sasa badala ya kumwambia karibu nyumbani mnaanza na kuuliza nani atachukua nafasi yake. Nilishasema siku za nyuma kuwa Zito anafaida kwa CCM akiwa ndani ya Chadema baada ya hapo kwao ni garasha tuu. Zitto kawaulize wenzio waliotangulia CCM ikoje ikikutumia kusaliti wenzio? Watakuambia, maana hata kwao hutaaminika. Kaa chini omba radhi wewe ni binadamu(tena kijana mdogo) waungwana watakufikiria maana yapo uliyofanya wanayakubali.

Aombe radhi kwa kunusurika kulishwa Sumu na watukutu wa Chadema.
 
Last edited by a moderator:
anayeweza kuwa naibu katibu mkuu ni BENSON KIGAILA namuombea sana kwa mungu awe yeye.
 
Kwa watu makini kama Prof. Safari na Baregu sidhani kama wataendelea kuwepo CDM!
Prof. Safari aliondoka Cuf akikimbia watu wanaong'ang'ania madarakani! Kwa bahati mbaya aliyoyakimbia Cuf amekumbana nayo tena CDM!
 
mambo ya chadema hayawahusu wajameni,,,nafasi zilizoachwa wazi zitajazwa kwa utaratibu wa chama si vingenevyo.

Yesu na maria! Lasima awe mkristo msuri na awe na jina kama Saro,Mboro,Munisi,Lema,Chuwa Elirehema n.k!
 
Hiyo ni post muhimu sana ndani ya chama ambayo inahitaji potential person na awe na uwezo mpana wa kufikiri,haitajiki mtu mwepesi wa ku-post vitu kny mitandao,"who the cap fit let him wear it" Mnyika anafit
 
yeyote asiye ndumila kuwili baasi,hakuna aliye juu ya cdm bhana .
 
nafikiri ni bora hiyo nafasi akawekwa hapo muislamu tena kutoka pwani...... hizo hisia za ukanda na udini zitawatokea ccm puani.......!
mohamed mtoi
abadallah safari
 
Sidhani kama Prof. Safari atakuwa rahis ku-deal naye kuliko Zitto. Sioni kivipi pro. Safari atakubali kutawaliwa na wakina Lema, Kilewo and co.!

Kama ilifikia mahali Lema anakosa nidhamu kwa naibu katibu mkuu wake. kisa tu Lema yuko karibu na mwenyekiti. Prof Safari ataweza hizi "swagga?" zitto amevumilia sana.
 
This is the highest level of espionage cograts cdm, it reminds me of the novels of "James Hadley Chase" cdm wanamtuma Kabwe Zitto kwenye chama flani hivi akawachotee 'maujanja' kwa ajili ya mwaka 2015.

mkuu ha ha ha inawezekana wewe pekee ndo una wazo tofauti thread nzima
 
Prof Safari ni makini sana.Baregu mmh!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwa watu makini kama Prof. Safari na Baregu sidhani kama wataendelea kuwepo CDM!
Prof. Safari aliondoka Cuf akikimbia watu wanaong'ang'ania madarakani! Kwa bahati mbaya aliyoyakimbia Cuf amekumbana nayo tena CDM!

Tena katika sura ya kutisha zaidi.
 
Profesa safari anastahilim kuwa Mwenyekiti...Mbowe makamu mwenyekiti....Katibu Mkuu awe Dr Slaaa....katibu msaidizi awe Mdee...Publicity...Mnyika...Bavicha...saaanane na wasira.....bawacha......Kiwanga........ongezea wengine

Uko sawa,ila Bavicha akae Ben saanane na Mohamed Mtoi(KATIBU MKUU). BAWACHA AWE KIWANGA,MDEE,CHIKU ABWAO NA MHONGA SADIQ.NAIBU KM APEWE TUNDU LISSU.
 
Back
Top Bottom