Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa Ndani ya chama cha CHADEMA,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua Kati ya hawa ?
1. GODBLESS LEMA .
2. JOHN MNYIKA .
3. PETER MSINGWA .
4. TUNDU LISU .
Hiyo ndo Big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?
CHADEMA ni team. Mbona huulizi Zitto tokea awe naibu katibu mkuu nini amefanya cha maana? Kila siku kusafiri kama kikwete