KYAMTUNDU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,820
- 295
Kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa Ndani ya chama cha CHADEMA,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua Kati ya hawa ?
1. GODBLESS LEMA .
2. JOHN MNYIKA .
3. PETER MSINGWA .
4. TUNDU LISU .
Hiyo ndo Big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?
Yeyote atakayepewa nafasi anaifaa CHADEMA na si chama kingine!
Kama humtaki, SEPA!
Better few but better!