Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa Ndani ya chama cha CHADEMA,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua Kati ya hawa ?

1. GODBLESS LEMA .
2. JOHN MNYIKA .
3. PETER MSINGWA .
4. TUNDU LISU .
Hiyo ndo Big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?
 
Edit Post Then Watoe Msigwa Na Lissu, Ongeza Mdee Na Ndesamburo, Hawa Wawili Wanajua Shimboni Kwani?
 
mambo ya chadema hayawahusu wajameni,,,nafasi zilizoachwa wazi zitajazwa kwa utaratibu wa chama si vingenevyo.
 
Chama hakuna ukabila so nimependkeza bila kujali Kabila ...na wala hatafutwi kiongozi wa kimilila anatafutwa kiongozi wa CHAMA .
 
mambo ya chadema hayawahusu wajameni,,,nafasi zilizoachwa wazi zitajazwa kwa utaratibu wa chama si vingenevyo.

Ni Hisia tulizonazo kwenye Chama , ukisema haituhusu ,unataka imuhusu nani ,?au unadhani ni haki ya nani kumpendekeza kiongozi wake Kama sio Mwachama ? So sisi inatuhusu Kama ww haikuhusu Jitenge .
 
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa chama changu kwani huyu ndumilakuwili zito ni hovyoooooooo,huyu akapimwe huenda ana matatizo ndo maana hata haoi

Kwakweli chama kimeonekana kina msimamo na maamuzi bila kujali umaarufu au wadhifa alionao mtu ..
 
Kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa Ndani ya chama cha CHADEMA,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua Kati ya hawa ?

1. GODBLESS LEMA .
2. JOHN MNYIKA .
3. PETER MSINGWA .
4. TUNDU LISU .
Hiyo ndo Big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?

Kwani lazima Naibu Katibu mkuu awe miongoni mwa Wabunge? Kwenye kanda zao kuna watu wazuri tuu na wenye muda wa kutosha kuliko kuwarundikia Wabunge vyeo
 
Kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa Ndani ya chama cha CHADEMA,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua Kati ya hawa ?

1. GODBLESS LEMA .
2. JOHN MNYIKA .
3. PETER MSINGWA .
4. TUNDU LISU .
Hiyo ndo Big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?

ukanda utachukua nafac yke
 
Back
Top Bottom