Nasikia Ben ni kambi ya ZZK
mtembea na sumu hadi kwenye kumbi za starehe, mpambanaji wa mitandaoni, ben sanane
mtembea na sumu hadi kwenye kumbi za starehe, mpambanaji wa mitandaoni, ben sanane
Edit Post Then Watoe Msigwa Na Lissu, Ongeza Mdee Na Ndesamburo, Hawa Wawili Wanajua Shimboni Kwani?
nafikiri ni bora hiyo nafasi akawekwa hapo muislamu tena kutoka pwani...... hizo hisia za ukanda na udini zitawatokea ccm puani.......!
mohamed mtoi
abadallah safari
Kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa Ndani ya chama cha CHADEMA,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua Kati ya hawa ?
1. GODBLESS LEMA .
2. JOHN MNYIKA .
3. PETER MSINGWA .
4. TUNDU LISU .
Hiyo ndo Big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?
mambo ya chadema hayawahusu wajameni,,,nafasi zilizoachwa wazi zitajazwa kwa utaratibu wa chama si vingenevyo.
Watu wengine bana jukwaa c lao hawaliwezi wanakuja na hoja za khanga huku soma alafu pita hiviii erooo!!! Co kuchangia madudu tu jitu zima!!
Kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa Ndani ya chama cha CHADEMA,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua Kati ya hawa ?
1. GODBLESS LEMA .
2. JOHN MNYIKA .
3. PETER MSINGWA .
4. TUNDU LISU .
Hiyo ndo Big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?
mambo ya chadema hayawahusu wajameni,,,nafasi zilizoachwa wazi zitajazwa kwa utaratibu wa chama si vingenevyo.
We njano5 una akili. Acha hao magamba waropoke to the maximum.* wenye akili twajua kinachoendelea.
Kachukue elfu kumi lumumba, wakupe T-shirt na kofia. Usisahau kuomba sababuni ya kufulia!ukanda utachukua nafac yke
Kwa maslahi ya chama, wange-focus kuondoa dhana ya u-kaskazini kwa kumweka mtu toka sehemu nyingine bila ku-compromise quality kwa kuweka mtu asiye competent.
maslahi ya chama hayatafutwi kwa kuforce kufanya matakwa ya wachache wanvyosema baki kwa kuangali ukweli ulipo ..hata Zito leo hii angeinekana hana shida kwnye chama angeachwa ,so chama kinafanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na si kwa maslahi flani ... kama leo ukombozi unaonekana kuanzia Kaskzini basi acha kaskazini wapambane na watu wa kusini ,magharibu ,na mashariki wataelewa ni nn maana ya ukomboI na si kuwadisaapoint . Mambo hayafanyiki kwa influence .