Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

Msitafute ugomvi na waislam,

ADUI YENU NI CCM,NA SI WAISLAM,

KAMA MMEAMUA KUMFANYA ADUI YENU KUWA NI WAISLAM,NI KUJICHIMBIA KABURRI MOJA KWA MOJA KAMA CHAMA

KWANI KUNA Ugomvi GANI SHEHE PONDA KUPEWA HICHO CHEO ikizingatiwa kuwa alishatangaza kugombea urais 2015?. Nenda kazuie gesi kule isiwanufaishe watanzania wengine-ibaki kwenu tu!
 
This time tunaomba gender balance ktk chama. Ningekuwa Tz ningeomba hiyo nafasi sbb ninaamini nina uzalendo wa kweli kwa chama na kwa nchi yangu. Ni vema wanawake nao wakapewa nafasi kulingana na uwezo na role wa nayo play katika chama. Mungu aendelee kuibariki chadema na nchi yetu nzuri Tanzania!
 
Katibu-Paroko
Naibu Katibu-Mchungaji
Maana hiki ni chama kama vyama vingine
Mfano mwenyekiti-shehe
Katibu-shehe
Naibu katibu-shehe
Wafuas-waumin
 
Back
Top Bottom