Kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa Ndani ya chama cha CHADEMA,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua Kati ya hawa ?
1. GODBLESS LEMA .
2. JOHN MNYIKA .
3. PETER MSINGWA .
4. TUNDU LISU .
Hiyo ndo Big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?
KaCCM kengine kaongoongo hakoooooo.Sidhani kama Prof. Safari atakuwa rahis ku-deal naye kuliko Zitto. Sioni kivipi pro. Safari atakubali kutawaliwa na wakina Lema, Kilewo and co.!
Ina maana kwenye chama chenu hakuna waislam wenye sifa? au ndo elimination of muslims within CHADEMA
hahahahaa Mnamuogopa Prof Safari siyo Mtakoma Mwaka huu Msaliti Zitto kapewa zawadi ya KrismasSidhani kama Prof. Safari atakuwa rahis ku-deal naye kuliko Zitto. Sioni kivipi pro. Safari atakubali kutawaliwa na wakina Lema, Kilewo and co.!
Kwa maamuzi mazuri yaliyofanywa Ndani ya chama cha CHADEMA,bila shaka tutarajie kupata kiongozi mwengine atakayefaa katika nafasi hiyo na kukisaidia chama . Je ni nani atayeonekana kufua katika nafasi hiyo .
Je a naweza kua Kati ya hawa ?
1. GODBLESS LEMA .
2. JOHN MNYIKA .
3. PETER MSINGWA .
4. TUNDU LISU .
Hiyo ndo Big four ... Au nani atafit kwenye nafasi hiyo ?
Hatapewa mtu cheo kwa kabila lake wala kwa uislamu wake wale ukristo wake wale upagani wake au ndini yoyote ile iliyopo chini ya jua. Pia hatapewa mtu cheo kwa ukanda wake, urefu wake ufupi wake uzee wake wala ujana wake au uanaume wake au uwanamke nawake wala ulemavu wake wala uzima wake wala kitu chochote! Na hii ndiyo katiba ya chadema kwa undani wake!
Chadema siyo ccm mkuu ni kitu kingine kabisa na utegemee a lot of surprises ambazo hukuzizoea kuzisikia na kuziona lakini chadema zitatokea lakini siyo ccm mkuu. Jipe moyo hayo ndiyo mabadiliko kama hutakubali kwenda nayo basi yatakulazimisha kubadilika!
Afande Sele