Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

Nani Naibu Katibu Mkuu CHADEMA mtarajiwa?

Profesa safari anastahilim kuwa Mwenyekiti...Mbowe makamu mwenyekiti....Katibu Mkuu awe Dr Slaaa....katibu msaidizi awe Mdee...Publicity...Mnyika...Bavicha...saaanane na wasira.....bawacha......Kiwanga........ongezea wengine

Uko sawa,ila Bavicha akae Ben saanane na Mohamed Mtoi(KATIBU MKUU). BAWACHA AWE KIWANGA,MDEE,CHIKU ABWAO NA MHONGA SADIQ.NAIBU KM APEWE TUNDU LISSU.HALAFU WAZEE SAID ARFI.
 
Na mimi naitaka imani yangu nikufukia haraka mashimo ya muda mrefu kutokana na kupwaya kwa mh Zitto.
 
Aombe radhi kwa kunusurika kulishwa Sumu na watukutu wa Chadema.
Vipi Pro. Muhongo na historia ya mgao wa umeme? Hayo ndio ungetumia muda wao kuyatetea. Sio mtu kuvuliwa nyazifa basi hata chai hamnywi wakati chama sio chenu.
Lipi la ajabu? Mbona Maalimu Seif alifukuzwa kabisa CCM wakati alikuwa na cheo kikubwa cha Waziri Kiongozi na CCM bado ipo itakuwa Naibu Katibu Mkuu? Hii ni aibu kwa Kiongozi kijana na msomi kutuhumiwa kwa USALITI,UONGO NA KUTOTIMIZA WAJIBU. Ila kama hatawasikilima nyie anaweza kujirudi na kuwa mwanasiasa wa kuaminika.
 
Mmeambiwa kuna mtu anataka kwenda kuswalishwa au kuombewa au kuabudiwa sijui msikitini au hekaluni au chini ya mti, yeyote awe anayehabudu dini ya asili au muislam au mkristo au mbudha au myahudi au Atheismau Zoroastrian, au rastafarian, au Hindihism, au taoism, au bahia mradi ana sifa za uongozi wa kuleta mabadiliko na kumwondoa mkoloni CCM sisi tunakubaliana naye
mi naona bora wangechagua hata kiongozi wa dini ndo sio vigeugeu.hata padre au askofu.
 
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa chama changu kwani huyu ndumilakuwili zito ni hovyoooooooo,huyu akapimwe huenda ana matatizo ndo maana hata haoi
..Hajapata mchumba ww jisogeze akunawe akiridhika atakuowa. Myika je nae vp ameowa na padri slaa kaowa lini au bado anazini tuu. Nimefurahi sana uwamuzi wa mbowe na mkwe wake mtei wameuza silaha wakati bado wako vitani. Simpendi mtei kwa udini wake wa dhahir nilmjua zaidi alipo toa tamko akimkosoa rais ktk uteuzi wa wajumbe wa tume ya katiba..zzk anakwenda zake Nccr na vijana wenzie wameshatagulia kina mkosa mali. Ataigawa cdm vipande vipande na tutaendelea kumpa ushirikiano wa hali na mali ndio mutakapo jua na kutia akili..chama kimejaa mapadri na wachungaji utadhani dayosisi ya moshi mjini
 
M,nyika , tundu lisu na peter msigwa wakipewa ntakubali si lema.....
 
mnafiki ni baba yako na mama yako wewe mbona ni mnafiki na tunakujua unajifanya uko chadema kumbe uko ccm
 
Ina maana kwenye chama chenu hakuna waislam wenye sifa? au ndo elimination of muslims within CHADEMA

Kuna wanachama watanzania, kuhusu Imani zao hakuna sensa iliyowahi fanyika ili kutambua imani za watu zaidi ya ufahamu wa kawaida tu, ambao si logical.
 
Yesu na maria! Lasima awe mkristo msuri na awe na jina kama Saro,Mboro,Munisi,Lema,Chuwa Elirehema n.k!

wewe umeshakunywa gongo nini??? hebu punguza jazba na maneno ya kipuuzi,,,,wafikiri chadema kuna ubabaishaji??? vipi kapuya leo atabaka nani???
 
Nape tulia anawekwa mwisilam na sio mtu wa kasikazini hapo wote kimyaaaaaaa !
 
Back
Top Bottom