Wadau wa JF,
Napenda kufahamu ni nani anamiliki Maduka makubwa ya Mariedo hapa Mjini.Kuna mtu ameniambia ni Edward Amri,nikamwambia hapana mbona huyu ni Pastor na ana kanisa lake na huwa anhubiri praise power neno la mungu. mwenye kujua ukweli anisaidie
naona betri walizokuwekea kichwani zimeisha muda wake. wahi wakakubadilishie kabla hujaanza ajira ya kuokota makopoSo long ni mtanzania na analipa kodi, haina shida
naona betri walizokuwekea kichwani zimeisha muda wake. wahi wakakubadilishie kabla hujaanza ajira ya kuokota makopo
Biashara na dini huoni kuna conflict of interests apo?
Biashara na dini huoni kuna conflict of interests apo?
Wadau wa JF,
Napenda kufahamu ni nani anamiliki Maduka makubwa ya Mariedo hapa Mjini.Kuna mtu ameniambia ni Edward Amri,nikamwambia hapana mbona huyu ni Pastor na ana kanisa lake na huwa anhubiri praise power neno la mungu. mwenye kujua ukweli anisaidie
huyu ni member humukapuchi, mmiliki wa chain ya maduka ya Marriedo anaitwa Maria, ni mke wa hao wakina Amri Brothers wanaomiliki chain ya maduka ya Oriental yenye makao yake makuu hapo hapo IPS.
Hivyo chain hiyo ya maduka inamilikiwa na mke wa kaka mkubwa, huku kaka mdogo anaitwa Dick Amri, naye mkewe anaitwa Mwasu, anamiliki chain ya maduka ya Mwasu Fashions yaliyotapakaa kote kama yalivyo maduka ya Mariedo na mdogo wake Maria naye anamiliki chain ya maduka ya urembo nimelisahau jina, ila ndio chai ya maduka makubwa kabisa ya urembo kuliko duka lolote jingine Tanzania.
Familia zote mbili ni zimefanikiwa sana kibiashara, hswa quality ya nguo zao ni za ukweli, ukikuta zile brand names, ni za ukweli toka Italy achilia hizi za China, tatizo ni bei tuu!.
kapuchi, mmiliki wa chain ya maduka ya Marriedo anaitwa Maria, ni mke wa hao wakina Amri Brothers wanaomiliki chain ya maduka ya Oriental yenye makao yake makuu hapo hapo IPS.
Hivyo chain hiyo ya maduka inamilikiwa na mke wa kaka mkubwa, huku kaka mdogo anaitwa Dick Amri, naye mkewe anaitwa Mwasu, anamiliki chain ya maduka ya Mwasu Fashions yaliyotapakaa kote kama yalivyo maduka ya Mariedo na mdogo wake Maria naye anamiliki chain ya maduka ya urembo nimelisahau jina, ila ndio chain ya maduka makubwa kabisa ya urembo kuliko duka lolote jingine Tanzania.
Familia zote mbili ni zimefanikiwa sana kibiashara, haswa quality ya nguo zao ni za ukweli, ukikuta zile brand names, ni za ukweli toka Italy achilia hizi za China, tatizo ni bei tuu!
Asante kwa taarifa!
Nawakubali sana hawa (MARIEDO & MWASU FASHIONS) wanajitahidi kibiashara, wana wateja lukuki (hasa kina-mama)! Nimekuwa mteja wao kwa miaka mi-5 sasa, ILA WAMEANZA KUCHAKACHUA SASA!!
UJANJA! Nawasifu kibiasahara kwa kuwa hawa jamaa wanafanya timings sana; wanenda ulaya na marekani (hasa nyakati za holiday seasons kama easter/xmas etc)..wanashop kwenye big stores in Europe/China/USA etc kipindi cha DISCOUNT...tena kwa wholesale price!...wakifika BONGO wanauza kwa bei ya juu sana (huu ni ubunifu, hatutembei kufahamu bei halisi). Kilichonikera ni majuzi tu nilipogundua kuwa sasa wameanza KUCHAKACHUA MAVAZI!!
KIVIPI??
Kuna jamaa wanafanya biashara ya MITUMBA, ile ya 1st GRADE; hawa MARIEDO NA MWASU, wananunua hizi nguo za mitumba ambazo ni kali kwa bei ya juu sana (say gauni kwa 50,000/=), wanapeleka dry cleaners, likiletwa dukani kwao hulupati bila ya 120,000/=!! Kwa kuwa hizi nguo zinakuwa quality ya juu sana hutwaweza kutofautisha!! Kuna mtu wangu yupo Arusha, yeye anafanya biashara ya kuleta makontena ya nguo za mitumba, ana-supply kwa hao watu kila siku mzigo ukiingia....once kontena likishuka, nguo haziuzwi hadi achague kali na kuwapelekea wateja wake wakuu!! (Mwasu, Mariedo etc)
Kwa wateja wa haya maduka, kuweni makini tu mkifika pale! Usinunue mbuzi kwa gunia....