Nani mmiliki wa jengo la TANESCO Ubungo?

Dah haya bwana

9b283692929a5d30813d16b6982a0371.jpg
 
Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco ila the developer ni PPF.

Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Kwa majibu wa Sheria zamani ya mwaka 1936, kweli jengo liko kwenye road reserve. Sheria mpya ya Ardhi 1999, ilifuta sheria ya 1936 na kupunguza road reserve, na ile ya 1936 ikaja kuchomekewa tena mwaka 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.

Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.

Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yanapaswa kufidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Update
Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.

Paskali
Naona unapambania mtumbo wako
 
Heheehh sasa Mzee vipi tena 16km itakuwaje.. Maana nasikia wanaongeza upana tena
 
Sasa mimi ndio rais...hakuna wa kunizuia kulibomoa!
 
Back
Top Bottom