Jengo hili nashangaa coment niliyotoa ya 2014 haina yumani fesi kabisa.....sijui nikaifute???Hamna yumani fesi kwenye hilo jengo!!!
Ipi hiyo sijaiona tehJengo hili nashangaa coment niliyotoa ya 2014 haina yumani fesi kabisa.....sijui nikaifute???
Nawamesema wanapanua barabara ya kutoka mwenge hadi morocoHivi haya maghorofa yanayojengwa kila siku hii Bagamoyo road, kutokea town all the way hadi Sayansi hayako kwenye hifadhi ya barabara kweli au ndiyo tujiandae kwa bomoabomoa na kulipana fidia miaka ijayo?
Inajua kutunga sheria au Kujitungia visheria?Serikali ya Tanzania inajua kutunga sheria sio kuzifuata!!!!
[Dhana ya Uzalendo nchini inanitatiza..Kwanza ni kweli hiyo ordinance ilikuwepo, lakini tulipotunga sheria yetu mpya ya ardhi ya 1999 na ardhi ya vijiji, tulifuta sheria zote zilizotangulia na tulifanya makosa kwa not incorporating 1932 ordinance, hivyo wamiliki wote wenye title deed na waliapata land kwa sheria ya 1999, wote wanastahili fidia halali!. Kinachofanyika kuwabomolea bila fidia ni ubabe tuu, wewe kama baba unafanya ubabe kumkomoa mwanao?, unamkomoa nani?. Nimesema lazima watalipwa.
Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.
Paskali
Suala sio umiliki bali limejengwa ndani ya road reserve
Itakuwa wewe ni wa mkoanjKwnn alibomoe ??
Kumbe kuna chadema wenye akili duh, nilifikiri wote wameshikwa akili na Mbowe!
Watatambulikaje wakati hawana makazi ikiwa kama ndio udhibisho wao, hapo c itatoa fursa hata kwa mtu yeyote kudai malipo kwamba nilikuwa na nyumba kumbe hata hana, hapa unatudanganya mkuu
true , owner ni PPF kwa hiyo pension zetu ndiyo zimechomwa motoKiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco ila the developer ni PPF.
Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Kwa majibu wa Sheria zamani ya mwaka 1936, kweli jengo liko kwenye road reserve. Sheria mpya ya Ardhi 1999, ilifuta sheria ya 1936 na kupunguza road reserve, na ile ya 1936 ikaja kuchomekewa tena mwaka 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.
Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.
Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yanapaswa kufidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Update
Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.
Paskali
Naaam! Unafanana na tabia zakoUnaupenda Sana?