mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,161
- 137,542
Dah nmesahau ndy ni langu nalo kwi kwi kwiUkisema na la Wizara ya Maji ni lako itapendeza zaidi.
Ova
Dah nmesahau ndy ni langu nalo kwi kwi kwiUkisema na la Wizara ya Maji ni lako itapendeza zaidi.
Mkuu sidhani.... Jengo ni la Rais mstafu MwinyiHili jengo ni mali ya Tanesco. Wamelijenga kwa fedha zao enzi za Mkurugenzi Mtendaji Simon Mhavile (RIP) Lilijengwa maalum kwa ajili ya kitengo cha Uzalishaji kwa vile mitambo ya uzalishaji kwa gesi na dizeli ilikuwa pale. Baadaye Wizara ya Nishati ikakodisha jengo la Tanesco la zamani lilillopo samora avenue ambapo ndipo ilipo wizara sasa na Tanesco wakaamriwa wahamie jengo la Ubungo. Habari ndio hiyo kwa kifupi.
Kwahiyo anataka kututia hasara nyingine tena ya kulipa fidia, si ndio?!Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco hata kama mjenzi ni developer fulani!.
Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Sheria mpya ya road reserve imetungwa 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.
Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.
Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yatafidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Lipi kati ya haya?Lazima litakuwa la FISADI PAPA!!!
Ni jengo la Tanesco, acha kusikiliza kelele za mbwa mkuu.Hili jengo liachwe, ila Tanesco ianze kujenga la kwake immediately
Mawazo ya kimasikini mabaya sana , kwa hiyo ukibomoa ndo unakua umefaidika kwa njia moja au nyingine, chamsingi kama hajulikani mmiliki ni kulitaifisha kuwa mali ya serekali, kulibomoa kwa kumkomoa mmiliki ni upuuzi uliotukukaWandugu salama,
Kuna ukweli wowote kwenye hili, hapa nilipo kuna malumbano yanaendelea juu ya nani mmiliki wa lile jengo la makao makuu ya TANESCO pale ubungo, pia inasemekana kutokuwa mali ya serikali ndio sababu iliyomfanya Magufuli kutaka kulibomoa ili kumkomoa mmiliki.
Je, wadau kuna ukweli wowote kwenye hili?
Vip wale wa kimara wameshafidiwa mkuu?Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco hata kama mjenzi ni developer fulani!.
Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Sheria mpya ya road reserve imetungwa 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.
Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.
Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yatafidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Mkuu umemuelewa lkn paskal? fly over ndo inahitaji hiyo nafasi pia na ni kwa mujibu wa sheria ya 2007.Kwahiyo anataka kututia hasara nyingine tena ya kulipa fidia, si ndio?!
Mzee wa msoga nae yumoniliwahi kuambiwa ni la EL na RA but
wanaojua watatujuza vizuri zaidi.
Mkuu naomba kidogo nikuoji ndugu yangu hivi na wale wakazi wa kimara waliojenga nyumba zao kabla ya 2007 wataweza kupata fidia au fidia ni kwa wawekezaji wakubwa tuKiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco hata kama mjenzi ni developer fulani!.
Jengo hili lilijengwa kwa mujibu wa sheria ya zamani. Sheria mpya ya road reserve imetungwa 2007 hivyo sehemu ya jengo hilo kuingizwa kwenye road reserve!.
Sababu ya kuvunjwa kwa jengo hilo ni kitoa fursa kujengwa kwa flyover pale Ubungo na sio kumkomoa yoyote!.
Majengo yote yaliyojengwa kwenye road reserve kabla ya 2007 yatafidiwa, hivyo hakuna ukomoaji wowote!.
Bauxite inatumika kutenfeneza cement?jamani hujui kitu nyamazaYaani Kenya raw material kama (Bauxite) wanachukua TZ sasa unasemaje yao bora kuliko ya tz? na hata pozolana pia wanachukua tz
kwa nini wasibomoe upande ilipo wizara ya maji?
Paschal Mayala msukuma mwandishi wa habari toka mika ile yupo redio Tanzania leo inaitwa TBC,napata shaka kama unaongelea Tanzania au upo burundi,nimesema hayo jinsi ulipokuwa unaendesha kipindi cha kiti moto watu wengi warilidhika na welendi mkubwa wa kiuandishi hojaji,hivyo kuwa mwandishi mahiri.lakini kwa hili nadhani umejibu hpja kiushabiki,Kiwanja ni cha Tanesco hivyo Jengo ni la Tanesco hata kama mjenzi ni developer fulani!.