Vitu shata shataNaona una laza zote mbili sodoma na gomora😀View attachment 3671500
Hiii ukiwa nayo ndani lazimacm ikae na salio ili uweze kuwapigia gari la maji taka wawahi eneo la tukio lolote linaweza tokea
Lakini anajambia mbali sana
MM plz em nipende km mwanzo, ila nazungumzia ukweli ujue? Basi tufanye mie niko wrong, na hawa majority wanaosema vile vile kuhusu kina meku?Sio kweli na sikupendi tena tena coka
Forever young au sioManeno ya Mungu yanasema hivi... Sisi sote ni watoto wa Mungu
Hao jamaa huwa napenda kuwatania 😂Hahahaha 🙆🏿♂ Maskini wapare...🙌🏿🏃🏿🤣
Subirir kuna siku watajaa kitawaka.Hivi Tareek kwanini nyuzi zangu za Chitchat unazitafsiri ki vayolensi?View attachment 3671876