Sio kweli na sikupendi tena tena cokaJamani MM kwani uongo? Mie nina ushahidi was wachaga, ni vile tu sioni mantiki ya kuweka hapa.
Ila kiuhalisia Wachaga hapana kwa kweli, japo wachache wako wamenyooka, ila wengi wao ni tatizo.
Mshangazi hauna baya mtu wala kipengele labda uende nacho wewe View attachment 3671439
Toto tamu hili
chwaaa, leo asubuhi kidogo nibadirishe njia, nilikutana na mzigo umevaa dele upo kama huu, nikautazama vizuri nikaona upo vulnerable kilicho niokoa chujio nililiacha ndani
chwaaa, leo asubuhi kidogo nibadirishe njia, nilikutana na mzigo umevaa dele upo kama huu, nikautazama vizuri nikaona upo vulnerable kilicho niokoa chujio nililiacha ndaniView attachment 3671447
Naomba niwasiliane na wakili wangu atakujibu
Hujaelewa nini?Andika ueleweke mkuu
Ngoma ya kwetu 🔥🔥
Mikono na miguu havina ushirikiano kabiiisa na hicho alichokibeba hapo nyuma
Alooooh chipsi na mishikaki kazijaza maaji kisa hii kitu
Nyoosha maelezo mzee, ishu ya mafumbo mngefanya private na wanaojua hayo mafumboJe yuko peke yake!?
Ama ni kikundi cha watu?
Wanajuana?
Wanafahamiana!?
Hivi wakojee?
Je wanafaidikaje na makundi?View attachment 3671430
Tatizo kitambi😂Mshangazi hauna baya mtu wala kipengele labda uende nacho wewe View attachment 3671439