Nani mkandarasi wa makundi ndani ya JF?

Nani mkandarasi wa makundi ndani ya JF?

Hii ni mada yako ya tatu kama sikosei ukiongelea jambo hili. Una agenda gani?

Ila kwa ufahamu wangu mdogo makundi hutengenezwa na watu wenye interest zinazofanana kwa malengo yao binafsi. Wapo wanaojikuta tu automatic wameendana na kuwa kundi moja. Hili halikwepeki popote pale.
 
Natamani kuwa na kundi la walokole wa kweli kwakuwa la walozi nimeleft😀
 
Back
Top Bottom