ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,298
- 129,753
Kwa hiyo unataka kusemajeHii ni mada yako ya tatu kama sikosei ukiongelea jambo hili. Una agenda gani?
Ila kwa ufahamu wangu mdogo makundi hutengenezwa na watu wenye interest zinazofanana kwa malengo yao binafsi. Wapo wanaojikuta tu automatic wameendana na kuwa kundi moja. Hili halikwepeki popote pale.