Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Mh Zitto naomba uje utoe stress Chitchat kwa kupiga kura yako ya kumchagua jf miss Chitchat 2012 ,mpigie kura Madame B.
 
Last edited by a moderator:
vipi leo umelala kwa nani!?

Nimelala kwetu kitandani.
unafikiri mimi ni kama wewe wa kulala 'chumba kirefu'?
Wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka!!!!!!
Unalo hilo Baba V
 
Last edited by a moderator:
Mbona nimeisha mpigia kula zamani madame B mkuu. Arabela asubili mwakani nitampigia
Dogo umerudi?? hebu pita kwenye poll afu kwa raha zako bofya kwa Arabela, achana na huyo mkongomani na swaga za ikibinda nkoi
 
Last edited by a moderator:
sitaki kuamini macho, ubongo na moyo pia. daaaa.....haya bana.

ohoo, umdhaniaye siye kumbe ndo ccm, na mara zote aliyeshikwa na ngozi ndo anafanya kazi machinjioni
 
Mbona nimeisha mpigia kula zamani madame B mkuu. Arabela asubili mwakani nitampigia

Aargh dogo, yaani kusoma huwezi hata picha!?? umemchagua yule penguine!??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…