Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.

Mbona mwanipa mtihani?? Haya mwenye dau kubwa atoe nimpe kura mtu wake!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mwanipa mtihani?? Haya mwenye dau kubwa atoe nimpe kura mtu wake!!!

Mkuu Rejao huyo mkongomani Chimbuvu alichofanya ni ku copy ,paste na ku edit post yangu, hivi nawasiliana na mawakili wangu ili hatua muafaka zichukuliwe dhidi yake, mpigie kura Arabela
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Rejao huyo mkongomani Chimbuvu alichofanya ni ku copy ,paste na ku edit post yangu, hivi nawasiliana na mawakili wangu ili hatua muafaka zichukuliwe dhidi yake, mpigie kura Arabela
Kwa stahili hii ya kucopy inabidi na posts zetu ziwekewe copy right kwa kweli!! Usijali mkuu, kura yangu ameshaipata!!
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa kama ndo unafungua huu uzi,tupo katika kinyang'anyiro cha kumpata jf miss Chitchat 2012,itumie kura yako kwa kumpigia Madame B
 
Last edited by a moderator:
afu walopewa nafasi za upendeleo sasa ....
 
Chimbuvu naona Madame B papaa mutu ya bukavu pedeshee utakuwa ushaanza mambo ya chini chini
 
Last edited by a moderator:
Mh Zitto naomba uje utoe stress kwa kupiga kura yako ya kumchagua jf miss Chitchat 2012 ,mpigie kura Madame B.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…