Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
ujue Kipipi mi nilikuwa kimyaaa tangu mwanzo wa mashindano, hata kampeni sijampigia ila yakaanza majungu, ooooh C6 na watu8 tunachakachua matokeo, sasa ivi limeibuka la multiple ids, mkuu Invisible kalizungumzia vizuri hilo jambo lakini bado tu, nimeandika iyo comment sikuwa namaanisha charminglady anatumia multiple ids, nilikuwa najibu waliosema wanajua eti kuna multiple ids, sasa kama wanajua uo mchezo kwanini wasiutumie,
i guess this is the last time najibu comment za malalamiko kuhusiana na kura kwa charminglady....
mie uwa sipendi majibizano sana maana niko short tempered sikawii kutumia lugha zisizo na maadili na nikajishushia hadhi, so Kipipi i hope tumesomana ila kama hujanipata funguka au kama una dukuduku sema mama, maana baada ya charminglady kulitwaa taji hamtaruhusiwa kutoa malalamiko kwa Ruhazwe JR tena
watu yamewashuka baada ya mambo kugeuka
can we change the subject please?Sasa jamani,
Watu wenyewe hatujuani, kampeni zenyewe za online hizi, no interest ilimradi umechagua tu mtu flani . . . . leo yajekuwa haya???
Dah . . . nimechoka mwili na roho, sikutegemea tufikie hapa.
Anyways . . .yote sawa.
Wapendwa msisahau kuja kwenye party ya kunipongeza mkimaliza hayo muongeayo!!!!!!
Ruhazwe JR vp kuhusu mdau aliyesema atatuma udhamini wake??? Kama imeshindikana gawanya huo udhamini wa Tshs. 71000 kwa washiriki tafadhali...........
You mean kuuliza tu ndo tunachukia charminglady kuwa na kura nyingi??
Ulikuwepo tangu tunaanza kupiga kura???
Mbona wakati mkeo ana kura chache pia malalamiko yalikuwepo?
(Mkuu unapopost jaribu kuangalia effect ya maneno yako, mwenyewe akifikiria hivyo kweli basi manung'uniko yake yote na yawe juu yako.)
Sikujua hizo mbinu kama bado ziko applicable, nyie endeleeni tu.
N.B. charminglady utanisamehe kama hujafeel good, no malice intended.
mkuu usijali kesho mapema utapokea nimefanya mawasiliano na katibu wangu hapo Arusha atatuma kwani niko mapumzikoni Nairobi mpaka tarehe mbili ila utapokea kwa hakika usiwe na shaka
Ruhazwe Jr mekumis mr lundenga masaa yayoyoma tuuuu
jamani naomba nizidi kuwasihi...mashindano haya yasilete uadui, C6 na Kipipi na hata charminglady tusifike hapa tulipo jaman,maana mm?mpaka nimeogopa,please,please ndugu zangu,chitchat hakuna mnyukano kama wa jukwaa la sias...tupendane jaman
jamani naomba nizidi kuwasihi...mashindano haya yasilete uadui, C6 na Kipipi na hata charminglady tusifike hapa tulipo jaman,maana mm?mpaka nimeogopa,please,please ndugu zangu,chitchat hakuna mnyukano kama wa jukwaa la sias...tupendane jaman
da kipipi was just asking about kura zangu kupungua lakini ikaja picha tofauti. Haya ni mashindano kila mmoja anataka kushinda lakini haimaanishi tuna uadui kila mtu ana uhuru wa kuchagua mshiriki amtakae lakini kitendo cha kuambiwa tumeshuka uso hatujapenda. Me si msemaji kivile ila hili imenibidi niongee kwa kweli Ruhazwe Jnr
da kipipi was just asking about kura zangu kupungua lakini ikaja picha tofauti. Haya ni mashindano kila mmoja anataka kushinda lakini haimaanishi tuna uadui kila mtu ana uhuru wa kuchagua mshiriki amtakae lakini kitendo cha kuambiwa yametushuka hatujapenda. Me si msemaji kivile ila hili imenibidi niongee kwa kweli Ruhazwe Jnr
bas mama!... naomba u relax maana naona hata tabasamu lako limepote,emu cheka kidogo bas tuone wako mwanya....
acha wachonge hujuma zao tumeshazijua maana wanajifanya watalaamu wa IT
We uliza tuu mr lundengamambo vp bibie...!...jaman nataka kukuuliza swali la kiudaku ila naogopa au nikuulize?