Hata mimi nakuunga mkono.Huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.
Kwanza ni vigezo gani ulivyotumia kupata hao warembo hapo juu, na kwa nini jina langu na la lara 1 halipo kwenye hicho ulichoita 'NAFASI YA UPENDELEO'?
Hapa lazima nipige kampeni ya kususia huu mtanange, mpaka utupe majibu ya kina.
Hii haikubaliki kabisa kijana.
ha ha ha! Hapo umenena! naomba viwalo basi viwe vya kunitosha isije ikawa kama nimevaa soksi... Naogopa wateja wa gym kuwavunja mbavu! Lol. Hijabu nitakuja nayo spesheli kwa gym.
Hivi inaruhusiwa kusema umempigia kura nan uniambie uliempigia? Lol
Shem ukishiriki haya mashindano, ntaenda kukusemelea kwa mama.....Mkuu Ruhazwe JR kazi nzuri.... Nimependa your motivation and creativity... Hongera saana. Ikiwezekana uongee vizuri na Invisible atufikirie na sisi ya wamama... :becky:
hahaha, wifi we gotta show em that the more the merrier! Nna leggings hapa na tshirts tu na sneakers. Hipsi hazifichiki hizo, zipotezee.
Sijajua kama napiga kura, kuna mshiriki aliahidi kunilipia premium memberahip fee, namuwinda bado.
Labeka shem, nimeambiwa na wapambe eti umeniita.:becky::becky:ha ha ha! Mie nakubali tu sina jinsi kabisa. Tshirt iwe loose na ndefu basi... I love sneakers ziwe colorful. Mie kuna mmoja alisema ataniletea juba ndio namsubiri.
Hivi umemuona darling shem Asprin? Alitaka wake zake wote wawepo sijui haoni ingekuwa ugomvi?! Lol... Anapenda tiffu huyu baba.
Shem ukishiriki haya mashindano, ntaenda kukusemelea kwa mama.....
Huyu Ruhazwe JR hana tofauti na Lundenga. Hiyo kambi mtakayopelekwa ntatanguliza mbwa wa polisi walah.
Nakusalimu shem wangu, afu napenda ufahamu kuwa nakupenda sana afu nimekumisi kama navoimisi keki ya harusi yangu.
Labeka shem, nimeambiwa na wapambe eti umeniita.:becky::becky:
This is beyond imagination shem, Hebu delete hii post kabla hajafika hapa pakatifuka tifu. Hii makitu ADI si ungeniambia kwa PM? Nimeumisi mwandiko wako kwenye inbox yangu ujue.Mie akhu sishiriki! Lol... Umbea tu na wifi yangu kipenzi umeniwaka hapa... Nasikia siku hizi ma Miss ndio mnasema ni mpango mzima. So tunajipanga kwenda zetu gym.
Shem mimi nimeku miss zaidi ya hapo... hata baba watoto aliyopo kuweka sawa mambo kule mpakani sijam miss kama wewe, can u imagine?
Yeah..... Nilimisiwa mpaka najionea wivu LOL:becky:You see sasa kuwa ulimisiwa eeh? Lol
Kumbe babu unanijari kiasi hiki na kunifikiria, nadhani sasa sina sababu ya kukukatalia kuwa msiri wako. Karibu mpaka ndani!Hata mimi nakuunga mkono.
Tupewe vigezo vilivyotumika kupata nafasi za upendeleo. Kwanini wasiwe wake zangu BADILI TABIA, Yummy na Asali Kongosho?
Au ni kwanini wasiwe wake zangu watarajiwa mambo yakienda sawa marejesho na Binti.com
Au ni kwanini wasiwe dada zangu Preta na sweetlady na Nyamayao
Au kwanini siyo walimu wangu snowhite na gfsonwin
Au kwanini siyo wajukuu zangu afrodenzi na MwanajamiiOne
Au msiri wa hommie wangu Kaizer bi mwaJ
Naandaa maandamano asee!!
Hapo kwa red hayo makitu ungeniambia kwa PM. Kuna mijitu ina wivu hapa hawachelewi kuniMwangosi.Kumbe babu unanijari kiasi hiki na kunifikiria, nadhani sasa sina sababu ya kukukatalia kuwa msiri wako. Karibu mpaka ndani!
INGEPENDEZA ZAIDI UNGEONGEZA MAELEZO KIDOGO KUHUSU SHINDANO NA ZAWADI YA MSHINDI ILI ATAKAMA MTU NI MGENI AELEWE VYEMA MKUU Ruhazwe JRthamnks mkuu,nashukuru kwa msaada wako wewe pamoja na Moderator
HAHAHAHAHAHAHata mimi nakuunga mkono.
Tupewe vigezo vilivyotumika kupata nafasi za upendeleo. Kwanini wasiwe wake zangu BADILI TABIA, Yummy na Asali Kongosho?
Au ni kwanini wasiwe wake zangu watarajiwa mambo yakienda sawa marejesho na Binti.com
Au ni kwanini wasiwe dada zangu Preta na sweetlady na Nyamayao
Au kwanini siyo walimu wangu snowhite na gfsonwin
Au kwanini siyo wajukuu zangu afrodenzi na MwanajamiiOne
Au msiri wa hommie wangu Kaizer bi mwaJ
Naandaa maandamano asee!!
Mkuu Ruhazwe JR kazi nzuri.... Nimependa your motivation and creativity... Hongera saana. Ikiwezekana uongee vizuri na Invisible atufikirie na sisi ya wamama... :becky: