Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
- Thread starter
-
- #521
Mkuu naomba uni PM ili unipe namba ya kukutumia kwa M pesa hiyo ahadi.
Kwa vile ume doubt naongeza dau kwa mshindi wa MWISHO-10,000/-
PM tafadhali!
upo serious? no ni
0756144386
hata mi inanipa mashaka hasa pale kitalolo anapoaanza kuedit post yangu kwa malengo amabyo nahisia si mazuri.
Mkuu hakikisha unapiga kura kwa kuchagua pale juu kwenye jedwali.
Kama unatumia simu hakikisha JF katika web browser yako ipo katika Desktop view na si JF mobile view.
Ukipata shida yoyote nitumie PM tafadhali.
watu8
Campaign Manager to charminglady
mkuu naona mabo yanaenda vizuri kwa upande wako sasa wameona wanashindwa wameanza kunishutumu eti nimeedit post zao wanataka kuaribu uchaguzi hawa wana dama ya kile chama chawala
Hahaha...mkuu usijali wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi ndio maana nipo kimya nafanya mambo taratibu na kwa msaada wa wadau wangu ukiwemo wewe kaka!
heheheeeeeiyaaaa........!!! kazi ndio imeanza,kampeni manager wa Arabela ndio naanza kazi
hata mi inanipa mashaka hasa pale kitalolo anapoaanza kuedit post yangu kwa malengo amabyo nahisia si mazuri.
heheheeeeeiyaaaa........!!! kazi ndio imeanza,kampeni manager wa Arabela ndio naanza kazi
mkuu Invisible naomba msaada wako kwenye hii shutuma inayonikabili nilichofanya ni kuquoute post ya huyu jamaa kama inavyojionyesha hapa lakini amekuja na shutuma kuwa nimeedit post yake tunaomba msaada maana nimemwambia sio fair kwa mwandaajia wa shindano na wakati huo huo kuwa meneja wa kampeni wa miongoni mwa wagomea kama inavyoonekana hapa kwenye post yake akijiita kampeni meneja wa Arabela.
mkuu ukifwatilia uzi huu utaona shutuma nyingi alizozielekeza kwangu hata baada ya mimi kuweka quote ya post yake na kutaka ufafanuzi juu ya hilo.
Amekiri mwenyewe kuwa hataliacha hili lipite hivyo hivyo na kwenye private meseji aliyonitumia ananishutumu kwa kumchafulia jina haya ni madai mazito sana ambayo naomba yapatiwe ufafanuzi mapema tafadhali sana sipendi kumkwza huyu bwana Ruhazwe JR kwanamna yoyote.
Asante
Hahaha...mkuu usijali wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi ndio maana nipo kimya nafanya mambo taratibu na kwa msaada wa wadau wangu ukiwemo wewe kaka!
upo serious? no ni
0756144386
Huu ni ubaguzi wa wazi na dhahiri.
Kwanza ni vigezo gani ulivyotumia kupata hao warembo hapo juu, na kwa nini jina langu na la lara 1 halipo kwenye hicho ulichoita 'NAFASI YA UPENDELEO'?
Hapa lazima nipige kampeni ya kususia huu mtanange, mpaka utupe majibu ya kina.
Hii haikubaliki kabisa kijana.
kitalolo nizid kukuhakikishi sijaegeme popote katika kumsaidia mshirik yoyote.japo nimepiga kura na kura yangu kwangu ni siri....relax mkuu hakuna chochote kinacho athil mwenendo wa uchaguz ila tuzid kukosoana
Wasalam,
Ni mara nyingine tena kama ilivyokuwa inasubiliwa sasa ndio imetimia.
kwanza niwaombe radhi kwa kutokufanya mashindano ya mwezi Dec 2012, hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu licha ya jitihada nilizozifanya za kuwatafuta ambao wangeweza kuendesha mashindano lakini kwa bahati mbaya haikuwezekana. Niombe radhi sana na samahani kama kuna mtu alikwazika anisamehe bure.
Bila kuwachosha,tunamtafuta MISS CHIT CHAT 2012 amabaye ata peperusha bendera kwa mwaka wote.washiriki ni kama ifuatavyo:
1. cacico - miss aug 2012
2. Remmy - miss Sept 2012
3. Madame B - miss oct 2012
4. Ciello - miss nov 2012
5. charminglady - Nafasi ya upendeleo
6. Arabela- Nafasi ya upendeleo
ZAWADI
Zawadi zitakuwa kama ifuatavyo:
a/ Mshindi wa kwanza atajipatia Muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wenye thamani ya TSH 16,000/= pamoja na kulipiwa JF Bronze(mchango wa jf wa thamani ya THS 20,000)
b/mshindi wa pili atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao atakao kuwa anatumia wa thamani ya Tsh 12,000/=
c/ mshindi wa tatu atajishindia muda wa maongezi wa mtandao atakao kuwa anatumia wa Tsh 8,000/=
d/ mshindi wa nne atajipatia muda wa maongezi kwa mtandao anaotumia wa thamani ya Tsh 6,000/=
Masharti
- Washiriki wanaruhusiwa kujipigia kura na kufanya kampeni za kuomba kura
- One member one vote
- Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec saa 6 usiku kamili.
- Zawadi zitatolewa siku ya tarehe moja asubuh.
Wadhamini
- Ruhazwe JR - 42,000/=
- Mu-sir -Tsh 10,000/=
- Chimbuvu -Tsh 5,000/=
- Jiwe Linaloishi- Tsh 3,000/
- Slave - Tshs 2,000/=
- Akijitokeza mdhamini mwingine basi zawadi itaongezeka!
Nawasilisha
UPDATE
Tumepata mdhamini mwingine anayejulikana Jiwe Linaloishi yeye anadhamini muda wa maongezi wenye thamani ya Tsh 3000 kwa mshindi atakaye shika nafasi ya nne.
Tunaomba wadhamini wengine wazidi kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona
MORE UPDATE
Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa,wamejitokeza wadhamini wengine wawili kama ifuatao;- 1. Chimbuvu (udhamini wa Tshs 5,000/=) na Slave (udhamini wa Tshs 2000/=).kwa sababu hiyo zawadi za washindi zimeongezeka.Tunazadi kuwaomba wadhamini wajitokeze zaidi.
MORE UPDATE
Napenda kuwa taarifu kwa heshima na furaha kuwa,tumepata mdhamini mwingine anaitwa Mu-sir ambaye amedhamini kiasi cha Tshs 10,000/= ilikuongezea katika zawadi kwa washindi watakao patikana.kwa niaba ya wanachitchat nakupa shukrani mkuu Mu-sir.Tunaomba wdhamini wengine wasisite kujitokeza ili washiriki wetu wapate zawadi iliyo nona.
PIGA KURA SASA!