St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,234
Salama kabisa St. Paka Mweusi, vipi wewe umeamkaje?
Nna hasira manake najaribu kumpigia kura my lovely sis charminglady afu inakataa!
Hahahaha, naomba bahasha St. Paka Mweusi.Nashukuru umeamka salama ila ukiona kura yako inakataa kwa charminglady basi mpigie Arabela itakubali bila matatizo..
Salama kabisa St. Paka Mweusi, vipi wewe umeamkaje?
Nna hasira manake najaribu kumpigia kura my lovely sis charminglady afu inakataa!
Hahahaha, naomba bahasha St. Paka Mweusi.
Salama kabisa St. Paka Mweusi, vipi wewe umeamkaje?
Nna hasira manake najaribu kumpigia kura my lovely sis charminglady afu inakataa!
Thanks a lot lovely dady! Ngoja nijaribu tena! Lazima ushindi uje nyumbani.sweetheart hakikisha upo kwenye "desktop version" kama unatumia simu.
Ikisumbua sana tumia kompyuta...daddy luvs you!!!
Morning lovely sis... Natumia simu mpendwa ila ngoja nifuate maelekezo yako na dady! Ushindi ni wetu sis, usijali. Tuko pamoja na wewe!Mornie sweet sis..... Je unatumia simu???
Kama ndiyo basi tumia Desktop version ndo utaweza kuvote,,,,
Hahahaha, naomba bahasha St. Paka Mweusi.
We koma, toka lini bahasha zikapeana hadharani? Hao takukuru walivotanda we huwaoni? Njoo huku mafichoni St. Paka Mweusi.Hiyo umepata omba kingine,ila si ntakupea mafichoni au nikupee hadharani tu ..
Sis, usijali. Kukusaliti wewe sio rahisi kabisa. Nakula kwa Arabela then kura kwa charminglady, sweet sis hela haziachwagi mpenzi. Acha nijipatie za kuwasumbua majirani siku ya x'mass lol.My lovely sis... usikubali kumsaliti nduguyo kisa pesa!!!
Sis, usijali. Kukusaliti wewe sio rahisi kabisa. Nakula kwa Arabela then kura kwa charminglady, sweet sis hela haziachwagi mpenzi. Acha nijipatie za kuwasumbua majirani siku ya x'mass lol.
Zantel!
Zantel!
Hiyo umepata omba kingine,ila si ntakupea mafichoni au nikupee hadharani tu ..
Ushapiga kuraa lakini?
kama bado naamini utanitoa aibu ya kuwa wamwisho.