dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Kwaiyo tunavyolipa pesa za huduma wenyewe ndo wanachukua???????Internet imeanzia jeshi la marekani ili kurahisisha mawasiliano maana njia zilizokuwa zinatumika kipindi kile zilipata changamoto nyingi
Kwaiyo tunavyolipa pesa za huduma wenyewe ndo wanachukua???????
internet aina mmiliki .maana ya internet ni maisha ya jamii ambayo hutakuta kazi zote uchumi,michezo biashara,sanaa,kazi,muongozo,habari n.k mnapo unganika kujua basi yanaitwa mawasiliano na hili mpate mawasailiano lazima mtu hakufikishie mawasiliano .Habarini wataalamu
Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?
Nawakilisha
MBs na GBs ni huduma tu zinazotolewa na kampuni inayotoa Huduma kama vile muda wa kuongeaLa kujiuliza hizi bando za MBs na GBs wanazipata kwa nani hawa watu wa mitandao???
Mkuu Huduma zote hutolewa na mtoa Huduma. Mfano unauliza SATCOM Hawa hutengeneza Huduma ya internet. Yaani internet ni kitu ambacho kipo tayari ni wewe kuamua kuanza kununua mitambo na kuweka Huduma. Ni kama unataka kuuliza kampuni za simu za mikononi wanatoa wapi network?Nilivyomwelewa muuliza hawa maservice provider wanapata data kutoka mikonga satcom wenzie wenye mikonga je hawa wenye mikonga wanachukua kwa nani? Yaani wholesalers wao. Hii sijawahi jua. Yaani nani ni source ya data?
Uongo mtupu.Me nilisikia familia ya Rockefeller ndio ilikuwa inamiliki satellite huko anga za juu kwa ajili ya mawasiliano ya simu TV na mawasiliano mengine.. kabla nchi kadhaa kuanza na wao kutuma satellite kwa usalama wao, kuhusu Internet pia wanaweza kuwa ni wao but aliyegundua www ameshakufa miaka Michache iliyopita. But Makampuni makubwa yanayomiliki mambo ya mawasiliano ni ya hao wayahudi na ni asili ya Rothschild family tu. Kuna siri kubwa kuwafahamu walivyogawa utajiri kwa watu wanaowataka haswa hawa wanapewa scholarship mbalimbali duniani. Sawa na hawa wayahudi wa Acacia ukiwabana wanakuja watu wengine na hao wengine wakibanwa watakuja wengine ila mwisho ni hao Rothschild family na Rockefeller shield wa Rothschild
Umetoa mfano mzuri sana.hapa kila mtu ataelewa.Tuanze hapa kwanza :
Me najua haina mwenyewe ila yoyote yule anaweza kuwa nayo, zaidi device za ku supply ndio zina wenyewe i.e unapo nunua devices zako nakuanza ku supply Internet kama walivyo ttcl, tigo, voda, simbanet n.k inakuwa ya kwako.
Mfano tena kuhusu umeme, umeme ni wanani? Yoyote yule anaweza uza umeme ilimradi apate kibali. Equipments atakazo tumia kufua huo umeme ndio zina wenyewe.
Samahani kwa kuchanganya lugha.
Kila kaalama unakokaona hapa ni byte, (mfano neno( "hautaelewa") lina bytes 12).kwa hyo 1000bytes=1kilobytes(kb),1000kb=1megabytes,1000mb=1gigabytes(gb).Kwa hyo unapolipa hela na kupata mb, ina maana umepata tiketi ya kuingia kwenye network ya mtu,. Internet ni connection ya networks, kwa hyo aina mwenyewe.La kujiuliza hizi bando za MBs na GBs wanazipata kwa nani hawa watu wa mitandao???
Mb na gb ni vipimo tu vya data utumiazo kama utumiapo umeme kipimo ni kilowatts ama maji wanatumia meta hivyo gb ama mb ni kipimo ambacho hawa mitandao wanatumia kukulipisha huduma watoayoLa kujiuliza hizi bando za MBs na GBs wanazipata kwa nani hawa watu wa mitandao???
Miakaya 90 kuna mainvestors waliombwa kuwekeza kwenye huduma za internet. Wakaanza kuwahoji jamaa wanaopitch idea, "Rais wa internet ni nani?" Kila wakielekezwa wanarudi palepale "rais wa internet ni nani" ikabidi jamaa mmoja ajitokeze na kusema yeye ndiyo Rais hapo ndiyo mazungumzo yakaendelea.
Weka ukweli au kaa kimya kenge unakuwa kama chadema kazi kupinga bila kutoa mbadala... nyie ni nyani hamtaki kujenga ati tutajenga kesho kila siku msemo huo nyumba haijengwiUongo mtupu.