msakaa jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 6,512
- 6,726
Zitto yamemkuta yapi mkuuYatamkuta ya Zitto.
Zitto yamemkuta yapi mkuuYatamkuta ya Zitto.
Ipo siku ccm itakosa hela ya kuhonga,Labda kama mna wanasiasa wanaoishi kwa upepo, lakini hawa ambao wanaishi kwa ugali kama sisi, haya mambo hayataisha.
Kama yanayosemwa kuhusu Lissu ni kweli basi Lissu anafaa kuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa.Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.
Natanguliza Shukrani.
Siamini kuwa kulikuwa kuna Eden, Adam, Hawa au Nyoka.Kama ni mkristo, rejea Eden utajua wanawake ni akina nani,,! Nisamehe kwa kuuliza dini yako.
Suala sio kuhonga mkuu, ila lazima ukweli usemwe kuwa wanasiasa wataendelea kufanya siasa kwa maslahi yao na familia zao sio kuburudisha watu kama wengi tunavyoamini.Ipo siku ccm itakosa hela ya kuhonga,
We unaona mill 600 hela..? Kama mbunge anakula 40mill kwa mwezi ya mfuko wa jimbo na haitumii jimboni, unadhani kwa miaka 5 ana kiasi gani?Sisi ya kwetu tumemaliza, hayo mengine hayatuhusu, yeye ajipigie tu hizo mil 600
Lucy Owenya..Catherine Ruge .. Chairperson
Yosefa komba.. Secretary
Hilda Newton...vice chairperson
.......
....
Tumpe vyeo vyote Mbowe. Kwani yeye ndiyo kila kitu kwenye ChademaWakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki, bila kupoteza muda Kamati kuu ya CHADEMA baada ya kutimua wasaliti, imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja, jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi.
Natanguliza Shukrani.
Wote hawafahi bora tumpe vyeo vyote Mbowe mwenye uchungu na Chadema yake ambako tukikumbuka nae aliuza nafasi ya ugombea Urais kwa Lowassa kumbukeni maneno ya Dr SlaaCatherine Ruge .. Chairperson
Yosefa komba.. Secretary
Hilda Newton...vice chairperson
.......
....
Mwampamba siku Hizi yupo wapi?Naye ni Covid 19 Mkuu.
Kiufupi cream nzima ya BAWACHA imesepa, but tutaanza upya tu kma BAVICHA ilivyoanza upya after Shonza na Mwampamba
Usaliti wa Mdee Ni Maslahi tu.Hata wale mitume 12 wa Yesu,Pesa ilimnyakua mmojaMkuu kama Mdee yadaiwa kugeuka msaliti labda atafutwe malaika ambae hatuna uwezo wa kumteua.Labda tatizo lipo ndani ya uongozi wa juu kabisa.
Yule aliegombea jimbo moja na Mwana FA ni mmoja wa covid19? Kama sio baasi anafaaa. Sijui anaitwa nani
Yosepher Komba
Yule dada aliyepambana na Lissu kutaka nafasi ya kugombea urais wa JMT yuko wapi?
Amandla...
1.Hilda newton
2.Rose mayemba
3. Upendo peneza
4. Devotha minja
5.yule dada wa Tanga aliye chuana na mwana FA