1. Prof. Issa Shivji
2. Jaji. Joseph Warioba
3. Jaji. Augustino Ramadhani
4. Jaji. Amir Manento
Nafikiri Shivji is more Independent than other...
1. Prof. Issa Shivji
2. Jaji. Joseph Warioba
3. Jaji. Augustino Ramadhani
4. Jaji. Amir Manento
Nafikiri Shivji is more Independent than other...
Unadhani utakubalina ana opinion za watu ilhali jibu unalo.
Mada yako ni kwamba inamaanisha Prof Shivji anafaa kuongoza tume ya 'Katiba mpya'. Hivyo unataka jibu la majadilianao ya ndio au hapa kama Mjengwa, au unataka kujadili mada na kupendekeza nani nafaa kuongoza tume hii.
mbona unakuwa kama umjamzito.....wewe mwenyewe ..... ukisaidiwa na Dr. AL Zawahiri
wewe mwenyewe ..... ukisaidiwa na Dr. AL Zawahiri
mbona unakuwa kama umjamzito.....
Na wewe unaweza kupendekeza yes mimi naona Prof. shivji anafaa zaidi wewe unasemaje? mkuu?
1. Prof. Issa Shivji
2. Jaji. Joseph Warioba
3. Jaji. Augustino Ramadhani
4. Jaji. Amir Manento
Nafikiri Shivji is more Independent than other...
Kama unaona anafaa weka vizuri mada yako ajadiliwe.
Kiukweli, kinakizanza na post yako ya kwanza.
1. Prof. Issa Shivji
2. Jaji. Joseph Warioba
3. Jaji. Augustino Ramadhani
4. Jaji. Amir Manento
Nafikiri Shivji is more Independent than other...
Naona unahamu ya kumwangiwa maji ya mchele wewe.....pili pili ya shamba...... wewe Chili... gati nini...?
Unakinzana kivipi? fafanua
JF kabla ya kujibu thread za Topical hebu angalia maana ya Topical....(In medicine, a topical medication is applied to body surfaces such as the skin or mucous membranes such as the vagina, anus, ) ..... ..... au angalia kwenye link hiii Topical - Wikipedia, the free encyclopedia
maneno huumba
Soma heading yako, itafakari. Soma post yako ya kwanza.
mada ina mashiko ila ulivyoileta kwangu ni mushkeli kiasi, hivyo endelea.
Mushkeli gani? fafanua