Nani anafaa kuongoza tume ya "Katiba Mpya"?

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
935
1. Prof. Issa Shivji

2. Jaji. Joseph Warioba

3. Jaji. Augustino Ramadhani

4. Jaji. Amir Manento

Nafikiri Shivji is more Independent than other...
 
Alafu ilo jopo la watakaounda iyo tume akiachiwa JK achague atamweka Werema na mama kombani.
Ingawa hakuna jinsi lazima ateue yeye but chonde hao wasiwepo pls bse wao bado wako 1947
 
1. Prof. Issa Shivji

2. Jaji. Joseph Warioba

3. Jaji. Augustino Ramadhani

4. Jaji. Amir Manento

Nafikiri Shivji is more Independent than other...

wewe mwenyewe ..... ukisaidiwa na Dr. AL Zawahiri
 
1. Prof. Issa Shivji

2. Jaji. Joseph Warioba

3. Jaji. Augustino Ramadhani

4. Jaji. Amir Manento

Nafikiri Shivji is more Independent than other...

Unadhani utakubalina ana opinion za watu ilhali jibu unalo.

Mada yako ni kwamba inamaanisha Prof Shivji anafaa kuongoza tume ya 'Katiba mpya'. Hivyo unataka jibu la majadilianao ya ndio au hapa kama Mjengwa, au unataka kujadili mada na kupendekeza nani nafaa kuongoza tume hii.
 
Na wewe unaweza kupendekeza yes mimi naona Prof. shivji anafaa zaidi wewe unasemaje? mkuu?
 
1. Prof. Issa Shivji

2. Jaji. Joseph Warioba

3. Jaji. Augustino Ramadhani

4. Jaji. Amir Manento

Nafikiri Shivji is more Independent than other...

Kama tume itateuliwa na JK (badala ya Bunge), hata iongozwe na malaika sitakuwa na imani nayo
 
What about Judge Mark Bomani?given his vast experience on constitution reforms ;re case of Namibia
 
1. Prof. Issa Shivji

2. Jaji. Joseph Warioba

3. Jaji. Augustino Ramadhani

4. Jaji. Amir Manento

Nafikiri Shivji is more Independent than other...

JF kabla ya kujibu thread za Topical hebu angalia maana ya Topical....(In medicine, a topical medication is applied to body surfaces such as the skin or mucous membranes such as the vagina, anus, ) ..... ..... au angalia kwenye link hiii Topical - Wikipedia, the free encyclopedia

maneno huumba
 
1.Shivji awe-Mwenyekiti 2.Tundu Lisu-Makamu Mwenyekiti 3.Mwakiyembe-Katibu 4.Jaji Warioba-Mjumbe 5.Mwenyekiti wa Tume ya haki za binadamu-Mjumbe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom