Nani anafaa kuongoza tume ya "Katiba Mpya"?

Inahitaji wanasheria wa Katiba na Haki za Binadamu kama Issa G. Shivji na Chris Maina Peter ila nahisi JK atampa Palamagamba Kabudi!

Chris maina anaweza kuwa mwenyekiti, makamu mwenyekiti atatoka Zanzibar au vice versa
 
Nani anafaa kuongoza bunge la katiba???

Tume ya katiba iliongozwa na Warioba wakisaidiana na Augustino
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom