Butola
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 2,290
- 756
Kikwete asitufanyie usanii wa kumteua rafiki yake au mtu wa CCM. Kinachotakia ni mtu atakayependekezwa na Raisi kuwa mwenyekiti wa tume hiyo aidhinishwe na MBUNGE. Vinginevyo mimi na wanasheria wenzangu tutaishitaki seriki kwa kuomba order mahakamani ya kumzuia Mwanasheria mkuu wa serikali(TZ Bara)asihusike kwa namna yoyote ile katika mchakato wa kuandika katiba mpya!
Hivi unaongelea Bunge gani hilo litakalokuwa na uwezo wa kukataa kumidhinisha mteule wa Rais ambaye ni pia Mwenyekiti wa CCM? ni hilihili la Tanzania au lingine?you need to think again!!