Nani anafaa kuongoza tume ya "Katiba Mpya"?

1. Prof. Issa Shivji

2. Jaji. Joseph Warioba

3. Jaji. Augustino Ramadhani

4. Jaji. Amir Manento

Nafikiri Shivji is more Independent than other...

Prof Shivji ni mdini atachafua Katiba yetu!
 
Prof Shivji ni adequate person lakini niungane na mjumbe mmoja kwamba hata angeongoza mtume km ni appointment ya Dr Jk hatutegemei jipYa...sana sana ni kupoteza rasilimali za masikini na kutuletea insha tu!
 
Tusianze Kuweka Majina Machache na Kulimit Uwezo wa Watanzania Wengine. Warioba Sioni Kama Ni Kiongozi Anaefaa, Historia Yake Mpaka Sasa ni Tofauti Sana Kumtofautisha na Hawa Mafisadi. Kwa Kifupi Warioba Hana Gut za Kusema Ukweli. Tunahitaji Viongozi Wasioogopa Kusema Ukweli. Kikubwa Tuangalie Hata Uongozi wa Tume Kutoka Nje ya Nchi.

"Hakuana Kukubalina na Sura za CCM na Tukadanganyika na Maneno Matamu ya Mkapa na Warioba, Tutalizwa Tena"
 
Kama tume itateuliwa na JK (badala ya Bunge), hata iongozwe na malaika sitakuwa na imani nayo

Kuna tofauti gani kwa tume kuteuliwa na JK au kuteuliwa na Anna Makinda na kamati ya Wabunge wa CCM chini ya uangalizi wa kamati kuu ya CCM? kumbuka CCM wana more than 70% ya wabunge, think!!
 
Alafu ilo jopo la watakaounda iyo tume akiachiwa JK achague atamweka Werema na mama kombani.
Ingawa hakuna jinsi lazima ateue yeye but chonde hao wasiwepo pls bse wao bado wako 1947

Uamuzi huo watoe washikadau wote wa katiba kwa pamoja.
 
1. Prof. Issa Shivji

2. Jaji. Joseph Warioba

3. Jaji. Augustino Ramadhani

4. Jaji. Amir Manento

Nafikiri Shivji is more Independent than other...

Tusianzie kwenye nani anafaa kablaa hatujajibu maswali ya authority inayoteua ni ipi na usahihi wake, na nani atakayeandika Terms of Reference (adidu za rajea) ambayo ndizo zinazotuhakikishia QUALITY ya tume yoyote ile.
 
Werema pamoja na kuwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa maoni yangu hastahili kuwemo kwenye jopo hilo.
 
Tusianzie kwenye nani anafaa kablaa hatujajibu maswali ya authority inayoteua ni ipi na usahihi wake, na nani atakayeandika Terms of Reference (adidu za rajea) ambayo ndizo zinazotuhakikishia QUALITY ya tume yoyote ile.

Hili suala la uteuzi wa tume na terms of reference lingepelekwa kwanza bungeni na kujadiliwa badala ya jk kujibebesha suala hilo! Otherwise mwisho wa siku itakuwa ni katiba ya ccm!
 
Kwa hiyo unapendekeza nani?

Napendekeza utaratibu wa kuwapata wajumbe utokane na Bunge ili wawe huru! Uzoefu unaonyesha kuwa anayekuteua unalazimika kufuata matakwa yake, kwa hiyo JK ambaye pia ni mdini asiteue wajumbe wowote wa tume!
 
1. Prof. Issa Shivji

2. Jaji. Joseph Warioba

3. Jaji. Augustino Ramadhani

4. Jaji. Amir Manento

Nafikiri Shivji is more Independent than other...

si alisema wanasheria walio boboea?
1.Marando
2.Tundu lissu
nk
 
Kikwete asitufanyie usanii wa kumteua rafiki yake au mtu wa CCM. Kinachotakia ni mtu atakayependekezwa na Raisi kuwa mwenyekiti wa tume hiyo aidhinishwe na MBUNGE. Pili wawakishi wa makundi(pressure groups or interested groups) wateuliwe na makundi husika, na majina hayo yapelekwe na makundi hayo kwa Raisi kwaajili ya kuunda tume hiyo. Raisi asipewe fursa ya kuingia kwenye makundi husika na kuteua watu anaowataka yeye(kwani anaweza kuteua watu ndumila kuwili kama akina Zitto). Kama utaratibu huu utakiukwa basi tujiandae kupata katiba fake, kitu ambacho sisi kama watanznia hatutakubali ufisadi huo wa katiba. The commission must be well represented,balanced,fair and just to the citizens of Tanzania. NB: Werema(mwanasheria mkuu wa serikali-Bara) hafai kwa namna yoyote kuwemo katika tume hiyo kwasababu ni biased already. Vinginevyo mimi na wanasheria wenzangu tutaishitaki seriki kwa kuomba order mahakamani ya kumzuia Mwanasheria mkuu wa serikali(TZ Bara)asihusike kwa namna yoyote ile katika mchakato wa kuandika katiba mpya!
 
Back
Top Bottom