Nani anabisha kuwa kupambana hadi ushindi wa Yanga SC jana kulichangiwa na kubezwa mno na mashabiki wa Simba SC?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,736
109,323
Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia kuwajaza ndimu (upepo) wachezaji wenu na wao kuamua kujitoa vile mpaka kushinda na kutinga makundi CAFCC.

Hivi mnadhani kweli GENTAMYCINE nisingekuwa nawacheka Yanga SC, nawatania hadi kuwakera huku muda mwingi nikiwasakama akina Rais Injinia Hersi Said na Msemaji Ally Kamwe wangeweza kujaa upepo na kujitoa kwa ajili ya timu?

Na kila wakikutana na wachezaji wa Yanga SC huwajaza ndimu (hasira), hali ambayo imekuwa ni kichocheo kikuu kwa wao kujituma kule na kuipambania jezi ya Yanga SC na bendera ya nchi (Tanzania).

Nasubiri sasa pongezi zenu nyingi tu kwangu kwani kuwasema kwangu nina uhakika kumechangia wachezaji wenu wote kuipambania timu hadi jana mkashinda vile, japo kwa ushindi kiduchu na wa kubahatisha kutokana na uzembe wa kipa wa Club Africaine ya nchini Tunisia.
 
Hii popoma huwa inajipa umuhimu mara nyingi tu. Sio kila anayekupugia makofi amefurahishwa nawe. Wengi wanakushangaa na upoyoyo wako we unajijaza upepo eti unawatia chumvi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Ubongo wako huo uliojaa Sisimizi ulitegemea utanielewa kweli? Huwa naeleweka zaidi na Werevu ( Brainy) Wachache walioko hapa JamiiForums.
 
Hamna kitu kama hicho, yaani mnataka mjishikize kwenye ushindi wetu. Hatutaki, nyie komaeni mtoe draw na ihefu.

Ushindi wa yanga hauihusu simba ni mipango kabambe na ya akili kubwa. Hata Al hilal walishinda kwa bahati tu ila kimchezo tuliwazidi sana.
 
Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia kuwajaza ndimu (upepo) wachezaji wenu na wao kuamua kujitoa vile mpaka kushinda na kutinga makundi CAFCC.

Hivi mnadhani kweli GENTAMYCINE nisingekuwa nawacheka Yanga SC, nawatania hadi kuwakera huku muda mwingi nikiwasakama akina Rais Injinia Hersi Said na Msemaji Ally Kamwe wangeweza kujaa upepo na kujitoa kwa ajili ya timu?

Na kila wakikutana na wachezaji wa Yanga SC huwajaza ndimu (hasira), hali ambayo imekuwa ni kichocheo kikuu kwa wao kujituma kule na kuipambania jezi ya Yanga SC na bendera ya nchi (Tanzania).

Nasubiri sasa pongezi zenu nyingi tu kwangu kwani kuwasema kwangu nina uhakika kumechangia wachezaji wenu wote kuipambania timu hadi jana mkashinda vile, japo kwa ushindi kiduchu na wa kubahatisha kutokana na uzembe wa kipa wa Club Africaine ya nchini Tunisia.
Ukumbuke na Manura uwa ni mzembe kwenye mashuti ya Aziz ki usisahau hilo🤣🤣🤣
 
hustahili pongezi yoyote ile
 
Back
Top Bottom