Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,182
Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa.

Wana Simba SC (baadhi yenu) mlivyo Majuha (Fools) tokea Juzi mnlalamika Kubaguliwa na Serikali kwa kuwasaodoa na kuwajali zaidi Yanga SC.

Hivi kama Mshauri Mkuu wa Mama yenu mwana Yanga SC na Mfadhili wao tu hatozwi Kodi Kubwa kama anavyotozwa Tajiri Kibyongo wenu mlitegemea Awamu hii mpendwe na mthaminiwe?

Na mlivyo wapumbavu baadhi yenu ni kwamba pamoja na huku Kutokupendwa Kwenu bado Kutwa mkiingia Viwanjani mnabeba Mabango ya Kumsifia Mama yenu huku, wengine mkiwa mnahojiwa na Press ( Media ) kuhusu Timu yenu mnatumia Sekunde 7 tu Kuiongelea Simba SC ila mnatumia dakika 20 nzima Kumsifia Mama yenu.

GENTAMYCINE nasikia raha sana jinsi mnavyofanyiwa na Kunyanyasika sasa na Serikali hii ya Mama yenu kwani Niliwaonya mno ila kama Kawaida yenu hamjajua kuwa Mimi ni Nabii na mwana Maono hivyo hakuna ambacho nakionya au nakizungumzia halafu kwa 95% kisitokee.

Na mtanyanywswa mno hadi mkome kwakuwa licha ya kuwa Wabishi kwa kila ninachowaambia lakini pia wengi wenu hamna Akili na ndiyo maana mnafanyiwa Vitimbi vya Kubaguliwa na bado mpo mpo tu.

Kudadadeki!
 
Nyie vijana wa sukuhizi mna ujuaji mwingi ila hamna mnacho jua, izo Simba na Yanga ni Mihimbili wa serikali katika Moja ya Mihimbili yake.
Mwaka 1988 ingawa baadhi ya viongozi wa Yanga waligawanyika katika ombi la kuibeba Simba isishuke Daraja.

Viongozi wa Simba wote walikimbia na timu walimwahia Shikamkono ambaye aliiweka Kambi pale Kibaha Njueni hotel kwenye mechi Yao ya mwisho dhidi ya Yanga.
Serikali ilibidi I ingilie kati kwa kuwashawishi baadhi ya viongozi wa Yanga waliokua wakipinga ili wakubali kupoteza mchezo ule wa mwisho ambao kwa kupoteza kwao Yanga, Coast wakawa mabingwa wa ligi kuu.
Hivi tunavyo andika kama Serikali isinge ingilia kati kwasasa tusingekua na Simba apa Nchini.
Serikali haiwezi ikajikata kidole chake alafu isikie Raha.
Simba na Yanga ni viungo muhimu katika mwili wa serikali.
Yanga iliwauma lakini walijikaza, uku Coast akitwaa ubingwa licha ya kufungwa na African sport pale mkwakwani.

Wali twa ubingwa licha ya kulingana na Yanga kwa point ila coast alibebwa na Magoli ya kufunga.
 
Uko sahihi kabisa.
 
hata hivyo huyo mama ni simba damdam
 
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0678663769
 
Nyie vijana wa sukuhizi mna ujuaji mwingi ila hamna mnacho jua, izo Simba na Yanga ni Mihimbili wa serikali katika Moja ya Mihimbili yake.
Mwaka 1988 ingawa baadhi ya viongozi wa Yanga waligawanyika katika ombi la kuibeba Simba isishuke Daraja.

Viongozi wa Simba wote walikimbia na timu walimwahia Shikamkono ambaye aliiweka Kambi pale Kibaha Njueni hotel kwenye mechi Yao ya mwisho dhidi ya Yanga.
Serikali ilibidi I ingilie kati kwa kuwashawishi baadhi ya viongozi wa Yanga waliokua wakipinga ili wakubali kupoteza mchezo ule wa mwisho ambao kwa kupoteza kwao Yanga, Coast wakawa mabingwa wa ligi kuu.
Hivi tunavyo andika kama Serikali isinge ingilia kati kwasasa tusingekua na Simba apa Nchini.
Serikali haiwezi ikajikata kidole chake alafu isikie Raha.
Simba na Yanga ni viungo muhimu katika mwili wa serikali.
Yanga iliwauma lakini walijikaza, uku Coast akitwaa ubingwa licha ya kufungwa na African sport pale mkwakwani.

Wali twa ubingwa licha ya kulingana na Yanga kwa point ila coast alibebwa na Magoli ya kufunga.
Asante kwa hii elimu
 
Simba hii ya Mangungu au ya Mo mmiliki na kada mtiifu wa CCM?
Mo na mangungu kila mtu ana kura moja, sisi mashabiki tukiamua samia na utopolo yake hatoboi,
si ameamua kuweka rangi yake hadharani, tumfurahishe kymamaeee
 
Uko sahihi kabisa. Wameandika mpaka 'visit Tanzania' kwenye jezi lakini serikali kimya hata kupongeza hamna. Wamekuja uto kwenye kombe dogo la shirikisho wakapewa ndege, alikwa ikulu.Viongozi simba iacheni serikali na timu yao ya uto fanyeni mambo yenu.
 
Nyie vijana wa sukuhizi mna ujuaji mwingi ila hamna mnacho jua, izo Simba na Yanga ni Mihimbili wa serikali katika Moja ya Mihimbili yake.
Mwaka 1988 ingawa baadhi ya viongozi wa Yanga waligawanyika katika ombi la kuibeba Simba isishuke Daraja.

Viongozi wa Simba wote walikimbia na timu walimwahia Shikamkono ambaye aliiweka Kambi pale Kibaha Njueni hotel kwenye mechi Yao ya mwisho dhidi ya Yanga.
Serikali ilibidi I ingilie kati kwa kuwashawishi baadhi ya viongozi wa Yanga waliokua wakipinga ili wakubali kupoteza mchezo ule wa mwisho ambao kwa kupoteza kwao Yanga, Coast wakawa mabingwa wa ligi kuu.
Hivi tunavyo andika kama Serikali isinge ingilia kati kwasasa tusingekua na Simba apa Nchini.
Serikali haiwezi ikajikata kidole chake alafu isikie Raha.
Simba na Yanga ni viungo muhimu katika mwili wa serikali.
Yanga iliwauma lakini walijikaza, uku Coast akitwaa ubingwa licha ya kufungwa na African sport pale mkwakwani.

Wali twa ubingwa licha ya kulingana na Yanga kwa point ila coast alibebwa na Magoli ya kufunga.
Yanga siku zote mkifungwa na Simba mnatafuta sababu, ilikuwepo. Kwenye hicho kikao. Story za kijiweni unazileta humu Ila Simba na yanga kamwe haziwezi kuachiana labda kuhujumiana ndio maana baada ya mechi Sahau Kambi alifukuzwa Kama ilikuwa makubaliano kwanini wafukuze.mchezaji.
 
Kuna wale mashabiki wanaovaa jezi za Simba wanabeba mabango ya kumsifia rais ndio wanafaa kuulizwa wanamsifia.kwa.kitu gani?
 
Badala waarabu wawatoe mchezoni ghafla ml 42 zinawatoa mchezoni dah!!!Rage kazi alikuwa nayo
 
Mo na mangungu kila mtu ana kura moja, sisi mashabiki tukiamua samia na utopolo yake hatoboi,
si ameamua kuweka rangi yake hadharani, tumfurahishe kymamaeee
Wewe ambaye haya maandamano ya kudai Bandari hukuja?.... Mmemshindwa Mo Hana hata jeshi Leo Samia😅
 
Back
Top Bottom