Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,924
- 50,999
- Thread starter
- #81
Hili ndiyo swali la bandiko hili.Kwahiyo injili original ipo wapi?
Hili ndiyo swali la bandiko hili.Kwahiyo injili original ipo wapi?
Na wewe unaamin kitabu cha Mungu mwanadamu anaweza kukifuta dunian sio. ?Zilichomwa moto kwenye maktaba ya Alexandria, Misri. Hivyo copy halisi huwezi kuziona
Baada ya hapo ndio wakaanza kubadirisha mambo kidogo kidogo. Angalia hizi Sanamu zinazosemwa za Yesu ambazo waumini wakikristu wanauziwa na kuaminishwa ni za Yesu wakati ni za Mwigizaji zilizotengenezwa miaka ya 1970 tu hapo. Cha ajabu waumini hawaambiwi kuwa ni za Mwigizaji na wanauziwa kwa pesa kubwa ni sawa tu na kuuziwa Maji na Mafuta kwa Mchungaji Mwamposa. 🤣
Quran hii unayosoma Leo ni mchakato uliokamilika juzi tu hapo ukitaka nakutajia Hadi kamati yote kwa majina waliotengeneza standardization,ni 1924 hapo Misri Cairo Al Azhar UniversityKitabu pekee kilichobaki katika uhalisia wake kwa miaka 1400 ni Quran tu
Nawataka waje ,TUFANYE cross examination kama mahakamani tujue ukweli ni upihamis77 umeipoozesha hii mada. Maana "Propagandists" wameikimbia na wao ndiyo watu ambao huleta mashamushamu!!
Kwanini kwenye Biblia ya mwanzo ilikuwemo?Umekuja na ujuwaji hukuja kujifunza, sasa lazima kwanza nione bible knoledge yako ni level ipi.
Msingi wa Biblia ni Canon, vitabu ambavyo havikuingizwa vipo lakini siyo canon books ni Aphocrypha books, ni mafunzo na reference, havipo katika msingi wa imani ya Kikriso.
Kanisa inavitambuwa vitabu hivyo., huoni copy zake mitaani kwa sababu si vitabu vya kiimani kwa mujibu wa Church Fathers.
ALIYE NA AKILI ANAZIONA TORATI NA INJILI HALISI ...KINACHO ITAJIKA NI AKILI TU ..KUJUA GUGU NA NGANONeno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka kwa wakristo wa Syria.
Na Torati ni neno linalotokana na neno la Kiyahudi "Torah" ambalo linahusisha vitabu vitano vya Sheria vya mussa vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiebrania.
Lakini kumekuwa na shutuma kwamba Torati na Injili zilizopo Sasa zimechakachuliwa na siyo zile halisi za zama hizo.
Jee ni nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi ili tufanye ulinganisho tujue hizi Torati na Injili zilizopo sasa zilipunguzwa ama kuongezwa nini?
Unaposema biblia ya mwanzo unamaanisha ipi?Kwanini kwenye Biblia ya mwanzo ilikuwemo?
Nafurahi kuwa angalau umeweka Injili kuwa ni neno lenye asili ya Kigiriki... Maana wengi wanadhani Injili ni neno la Kiarabu..If the Qur’an says the Gospel came from Allah…
And if it says no one can change His words…
Then why do some say the Gospel was lost?
Truth doesn’t contradict itself. It confirms itself.
View attachment 3530865
Kwani wavalishwa pampers hawawezi kutumia chartgtp au imewapiga marufuku , mbona wavalishwa pampers wanaiogopa sana chartgtp ?? Imewafanya kitu gani ??Ngoja kobaz ambao wanajua kucheza na chat gpt waje wakuambie ni swahaba gan aliziona.
Neno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka kwa wakristo wa Syria.
Na Torati ni neno linalotokana na neno la Kiyahudi "Torah" ambalo linahusisha vitabu vitano vya Sheria vya mussa vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiebrania.
Lakini kumekuwa na shutuma kwamba Torati na Injili zilizopo Sasa zimechakachuliwa na siyo zile halisi za zama hizo.
Jee ni nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi ili tufanye ulinganisho tujue hizi Torati na Injili zilizopo sasa zilipunguzwa ama kuongezwa nini?
Unaposema Injili na Torati ziliteremshwa unamaanisha nini. kwani Injili na Torati ndani mwake Kuna nini?Uislamu unasema Torati na Injili ziliteremshwa kweli, lakini hazikuhifadhiwa kikamilifu. Injili ya Kiislamu haikuwa vitabu vinne vya sasa, bali ilikuwa wahyi mmoja kwa Nabii Isa (a.s.) ambao haupo tena kama kitabu kamili.
Muddy mjanja alitaka kitabu chake kionekane ndo cha maana kimetoka kwa Mungu na vile vingine vionekane vimeandikwa na watu tu ndo maana akawadanganya watu kwamba Torati na Injili imechakachuliwa ila Quran yake ndo yenyewe. Ukiwauliza original viko wapi au vinafananaje hawawezi kukujibu zaidi watakimbilia nukuu za Muddy juu ya vitabu hivyo.Neno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka kwa wakristo wa Syria.
Na Torati ni neno linalotokana na neno la Kiyahudi "Torah" ambalo linahusisha vitabu vitano vya Sheria vya mussa vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiebrania.
Lakini kumekuwa na shutuma kwamba Torati na Injili zilizopo Sasa zimechakachuliwa na siyo zile halisi za zama hizo.
Jee ni nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi ili tufanye ulinganisho tujue hizi Torati na Injili zilizopo sasa zilipunguzwa ama kuongezwa nini?
Unaposema Injili na Torati ziliteremshwa unamaanisha nini. kwani Injili na Torati ndani mwake Kuna nini?
Kwa hiyo OG vilihifadhiwa Misri tu na si kwingineko?Mkuu hivi tunavyosoma sasa hivi siyo OG baada yahapo masimulizi yaliendelea pia elewa kuwa zamani masimulizi ndio yalikuwa yanatawala ndio maana bible kjna edition mbali mbali. OG vilikuwa vimeandikwa Kirumi na Kiebrania ndio vilivyochomwa hapo Maktaba ya Misri
Muddy ni nani au ni yule alokuwa mchezaji wa Real madrid kutoka Croatia Mudrick ??Muddy mjanja alitaka kitabu chake kionekane ndo cha maana kimetoka kwa Mungu na vile vingine vionekane vimeandikwa na watu tu ndo maana akawadanganya watu kwamba Torati na Injili imechakachuliwa ila Quran yake ndo yenyewe. Ukiwauliza original viko wapi au vinafananaje hawawezi kukujibu zaidi watakimbilia nukuu za Muddy juu ya vitabu hivyo.