Quran hii unayosoma Leo ni mchakato uliokamilika juzi tu hapo ukitaka nakutajia Hadi kamati yote kwa majina waliotengeneza standardization,ni 1924 hapo Misri Cairo Al Azhar University
Cha kuchekesha sasa ,Sio Saudia Arabia,Yemen, kufaa , Baghdad ambao Wana manuscript za Quran za karne ya 7 au 8 ,
Saudia Arabia nyumban kwa uislamu,iliwabidi Hadi 1985 ndipo waikubali hii Quran kutoka misri
Manuscripts za Quran zilizopo ni zile za Birmingham na sanaa , ambazo sio za karne ya 7a 8 ,sio za Uthman,
Na ni vipande vichache tu na zinatofautiana na Quran hii ya Leo ambayo wewe Umedanganywa ni ya toka miaka 1400 iliyopita
Unajua kwanini watafiti wanapigwa vita wakitaka kufanya research kwenye manuscript za Quran za Birmingham na sanaa?
Angalia biblia ,Ina Manuscript nyingi za kale ,
Leo ukienda pale Qumran measum hata uwe mufti unaruhusiwa kufanya research na kuona jinsi Maandiko ya agano la kale yalivyotunzwa kabla hata ya Yesu
Na wengi wanaowadanganyeni kuwa maandiko yaliharibiwa ,wamefika hapo wanaujua ukweli ,ndio maana huoni wakijibu hoja ,wamewaachia nyie hili bomu
Hizi picha hapo ni Qumran measum,mtafiti amefika anafanya research kuhusu Dead sea scrolls
Na kutokana teknolojia kuendelea imeonekana ni za mapema zaidi ya walivyodhani awali,
Hizi dead sea scrolls Zina Torati, zaburi ,vitabu vya manabii wote ikiwepo kitabu kizima cha isaya ,Yeremia ,n .k
Kuna kitabu cha Books of Giants walilikuta humo
Ni kitabu kimoja tu hawakukikuta cha Esta
Hapa sijagusia Septuaginta
View attachment 3530614View attachment 3530615View attachment 3530617