mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,789
Ndo mungu hvyo hivyo alivyo
Sidhani kama utapajua
Sidhani kama utapajua
Labda ushawahi kuuona uchawi au hujawahi lakini mimi Sijawahi na naamini upoo na watu wote wanaamini upo na wewe ukiwemo. Wewe toka umekuwa umnaamini kuna Hewa lakini kamwe hujawai kuiona so sio kila kitu lazima ukione ili Uamini kipo lakini kaa Ukijua MUNGU YUPO na isingekuwa Mungu leo hii usingekuwa na jeuri ya kuandika ulichoandika.
unalazimisha kua ninaamini uchawi kwa sababu naamini hewa ipo? We jamaa mbona una reasoning mbaya hivyo?



Sasa kama unaamini hewa ipo why usiamini Mungu yupo???? Ni upumbafuu ujueee.... Kibaya na uchawi pia unaamini ila Mungu ana kazi sana kuumba viumbe kama hiviii...Pumbavu wewe hapo, siamini hewa ipo, uwezo wa kuprove uwepo wa hewa ninao. Wewe una uwezo wa kuprove uwepo wa mungu? Chizi kabisaSasa kama unaamini hewa ipo why usiamini Mungu yupo???? Ni upumbafuu ujueee.... Kibaya na uchawi pia unaamini ila Mungu ana kazi sana kuumba viumbe kama hiviii...
Hewa Umeiona wapi mkuu???? Maana kama kuprove Mungu yupo kuna matukio mengi sana yanayoonesha hilo pia maandiko ya kiscience yanayokuaminisha hewa ipo lakini Huioni ni sawa tena weak zaidi ya maandiko yaliyoandikwa Juu ya uwepo wa Mungu toka vizazi na vizazi.. Safari za wana wa israel mambo ya sodoma na Gomora vyote hivi ni Historia ya kweli lakini Huamini kama Mungu yupo.unalazimisha kua ninaamini uchawi kwa sababu naamini hewa ipo? We jamaa mbona una reasoning mbaya hivyo?
Siamini uwepo wa mungu wala uwepo wa uchawi na si kwa sababu sivioni, ni kwa sababu hakuna njia ya kuprove sio kwa macho wala sense nyingine zozote. Hewa ina njia nyingi sana za kuprove kua ipo, nakushangaa wewe hadi utumie macho ndiyo unajua kua kitu kipo? Hehe kuna pua zinanusa, ngozi inahisi, sikio linasikia, sauti mbona huioni ila unasikia? Hahaha we jamaa, kuna vitu hatuwezi sense kwa sensor tulizonazo ndiyo maana tunatengeneza sensor kwa kutumia sayansi sio kukaa na kusema tenganisha maji yakaachana.
Hahaha watu mnaoamini mungu mnachekesha, njoo na argument nzuri hiyo uliyotoa hapo ni bs
Unaprove vipi kenge wewe hizo njia zako baki nazo maana hata me kwa kutumia njia zangu naweza kuprove Mungu yupo..! Nataka uishike hewa uniletee niione hizo njia zako me siziamini kama vile ambavyo huamini uwepo wa Mungu wangu na mimi siamini hizo prove zako.Pumbavu wewe hapo, siamini hewa ipo, uwezo wa kuprove uwepo wa hewa ninao. Wewe una uwezo wa kuprove uwepo wa mungu? Chizi kabisa
Kenge we na familia yako, siina muda na vilaza shenzi, mungu wako anakufundisha kuja kutukana watu? Jinga kabisa masikini halina hela, nenda kaomba hela ya bando kwa mama pumbavuUnaprove vipi kenge wewe hizo njia zako baki nazo maana hata me kwa kutumia njia zangu naweza kuprove Mungu yupo..! Nataka uishike hewa uniletee niione hizo njia zako me siziamini kama vile ambavyo huamini uwepo wa Mungu wangu na mimi siamini hizo prove zako.
NIIONE HEWAA UNILETEEE MKUU NIIONE NDO NITAAMINI HEWA IPO.
HahahahaHahaha Muhammad angezaliwa karne hii angesema Mungu aliumba Simu kwanza akawa anatype mambo yake.
Jamaa akili zao zina vibanzi sio bureHapa ndipo hupawezi kabisa, elimu yako ni ya; Muulizaji anakuwa tapeli na muongo nk, na elimu ya majini- mbwa na majini--paka shume.
Na usitake kubadilisha mada kijanja, tupo hapo hapo kwa nyie mnojifanya Miungu kujua yaliyomo ndani za nafsi za kila YEYOTE aulizaye kuhusu kuumbwa kwa Mungu eti, ni lazima awe muongo, tapeli nk!!!
Mnataka watu wasiwe wanahoji kama jinsi nyinyi akili zenu zilivyokuwa dormant kwa kutokuhoji mnataka na za wengine ziwe hivyohivyo!!
Sasa bila kuhoji na kutafakari akili itafanya kazi gani??-- Allah mara kadhaa anauliza; A falaa ta'akiluun?? Yaani; je hamtumii akili??--- sasa kuuliza kutaanza vipi bila kutumia akili??, na unapouliza au kujiuliza ndipo unakwenda mbele zaidi kwenye tafakur.
Nyie ni watu wa ajabu kweli, mnataka watu wawe mabubusa kama nyie.
Kwa hiyo hivi ndio umethibitisha kuwa mungu yupov?!! Aisee nyie watu ni wakuonewa hurumaImani haipigwi rungu,ila kuna God na kuna god.
Kenge we na familia yako, siina muda na vilaza shenzi, mungu wako anakufundisha kuja kutukana watu? Jinga kabisa masikini halina hela, nenda kaomba hela ya bando kwa mama pumbavu







Naona umejee upepoo...! Huna kazi za kufanya kuja kushupazaa shingo huku jf kuandika Utumbo. Kweli mungu wako hayupo ila Mungu wangu yupo.Yaani Hawa jamaa sijui wana matatizo gani ' miaka nenda miaka rudi wanashindwa kuthibitisha kile wanacho kiamini kama kipo halafu walivyo kuwa hawana haya bado wana endelea kukiabudu hicho kitu ambacho wao mwenyewe wameshindwa kuthibitisha uwepo wakeHuu ni uzi mwingine tena sijaona bado mtu aliyeweza kudhibitisha mungu yupo.
Kwa nini mnashindwa kuthibitisha mungu yupo? Shida inakuja wapi?
mungu hayupo mkuu ila Mungu yupoHuu ni uzi mwingine tena sijaona bado mtu aliyeweza kudhibitisha mungu yupo.
Kwa nini mnashindwa kuthibitisha mungu yupo? Shida inakuja wapi?
Hewa ipo????Yaani Hawa jamaa sijui wana matatizo gani ' miaka nenda miaka rudi wanashindwa kuthibitisha kile wanacho kiamini kama kipo halafu walivyo kuwa hawana haya bado wana endelea kukiabudu hicho kitu ambacho wao mwenyewe wameshindwa kuthibitisha uwepo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Riki mtaharibu Uzi ... Mnashindwa nini kujadiliana kwa ustaarabu mpaka muanze kutukanana ...??Naona umejee upepoo...! Huna kazi za kufanya kuja kushupazaa shingo huku jf kuandika Utumbo. Kweli mungu wako hayupo ila Mungu wangu yupo.
Yeye ndo kaanza...!! Sasa anadhani yeye tu ndo anaweza toa kauli za ovyoo...Riki mtaharibu Uzi ... Mnashindwa nini kujadiliana kwa ustaarabu mpaka muanze kutukanana ...??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajajibu kaleta siasa...!! Nataka aniletee hiyo Hewa niione maana toka nizaliwe sijawahi kuiona
Kwani haukusoma hapa ... Au unajitia upepo riki boyunalazimisha kua ninaamini uchawi kwa sababu naamini hewa ipo? We jamaa mbona una reasoning mbaya hivyo?
Siamini uwepo wa mungu wala uwepo wa uchawi na si kwa sababu sivioni, ni kwa sababu hakuna njia ya kuprove sio kwa macho wala sense nyingine zozote. Hewa ina njia nyingi sana za kuprove kua ipo, nakushangaa wewe hadi utumie macho ndiyo unajua kua kitu kipo? Hehe kuna pua zinanusa, ngozi inahisi, sikio linasikia, sauti mbona huioni ila unasikia? Hahaha we jamaa, kuna vitu hatuwezi sense kwa sensor tulizonazo ndiyo maana tunatengeneza sensor kwa kutumia sayansi sio kukaa na kusema tenganisha maji yakaachana.
Hahaha watu mnaoamini mungu mnachekesha, njoo na argument nzuri hiyo uliyotoa hapo ni bs