mc gregor
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 1,121
- 2,194
Unaamini katika historia????
Mimi siamini katika chochote.
Nimekujibu hivyo nikiassume unajua maana kuamini na ndio maana umeniuliza.
Unaamini katika historia????
Maelezo yako yanaonyesha wazi ya kuwa :😂 unalazimisha kua ninaamini uchawi kwa sababu naamini hewa ipo? We jamaa mbona una reasoning mbaya hivyo?
Siamini uwepo wa mungu wala uwepo wa uchawi na si kwa sababu sivioni, ni kwa sababu hakuna njia ya kuprove sio kwa macho wala sense nyingine zozote. Hewa ina njia nyingi sana za kuprove kua ipo, nakushangaa wewe hadi utumie macho ndiyo unajua kua kitu kipo? Hehe kuna pua zinanusa, ngozi inahisi, sikio linasikia, sauti mbona huioni ila unasikia? Hahaha we jamaa, kuna vitu hatuwezi sense kwa sensor tulizonazo ndiyo maana tunatengeneza sensor kwa kutumia sayansi sio kukaa na kusema tenganisha maji yakaachana.
Hahaha watu mnaoamini mungu mnachekesha, njoo na argument nzuri hiyo uliyotoa hapo ni bs
Mapungufu ya vitabu vya Dini ni uhai au usahihi au uhalisia wa NENO kutoka kwa mtamkaji kwenda kwa msikilizaji na hatimae muelezeaji-Communication break down.Hata hiyo bible bado ina mapungufu mengi mbona ... Science inapokuja na tafiti za kuhusu jambo Fulani bado inatoa uwanja kwa watu wengine kulichunguza jambo hilo na kulitoa kasoro ..hii ni tofauti na masuala yenu ya kiimani "katika vitabu vyenu ukisoma maswala ya imani unapaswa kua mini tu bila fact ukianza kuhoji utaambiwa kuwa unalaana .huna akili umekengeuka etc .. Science haiko hivyo mkuu ndio maana kuna aliyegundua gari kisha akaja mwingine akagundua wipers na kuziweka katika gari hilo hilo .....
Halafu mbona huwa mnaiongelea science vibaya when it comes katika competition za dini na science wakati huo huo sisi wote dunia nzima tuna itumia science katika ili tuweze kuishi kuendana na mazingira ya kiulimwengu " hapo ulipo unatumia simu na kutype jf kitu ambacho kimesababishwa na science lakini hizo dini zenu zimeshindwa hata kuunda uma na kijiko still hamtaki kuipa science kipaumbele ....??
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidi usicheze na maneno na kuzunguka mbuyu. Unajuaje kama Mola hayupo ? Thibitisha hilo usilete dibaji.Mungu muweza wa yote
Mwenye upendo kwa wote
Huyu mungu anaye hubiriwa hivi katika vitabu hajawahi kuexist .. Kwa sababu wote tunashuhudia kuwa anajinadi kwamba ana uwezo wa yote lakini ana shindwa kuijua hata future ya viumbe wake .... So hauoni kuwa hapo kuna contradiction ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siamini katika chochote.
Nimekujibu hivyo nikiassume unajua maana kuamini na ndio maana umeniuliza.
Kama uthibitisho una definition ndani yake kwanini wewe unaniambia ni define mungu ni nini kisha unaniambia nithibitishe? Huoni kuwa hivyo ni vitu viwili vilivyotengana?1. Mbona unarudia swali nimekujibu kwamba uthibitisho una definition ndani yake.
Wewe unajua kanuni za kuanduka insha, kwamba kitu cha kwanza kuandika ni definition ya subject yako?
Kama hujui kwamba katika proof kuna definition, kwamba huwezi ku prove kitu ambacho hakina definition, basi una matatizo makubwa zaidi.
Define Mungu ni nini.
Thibitisha Mungu yupo.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Sio kila mwenye kusema Mungu yupo anaamini vitabu vya dini, hivyo hoja yako ni nyelesi sana.Mungu hayupo, mwanzoni ilianza kama story za hadithi tu, sema mabadiliko yanavyotokea falme nyingine zikaanza kutumia dini kama njia ya kucontrol watu, watu walivyo vilaza wakashika wanayoambiaa 100%, mwanzoni kulikua na miungu kibao ila muda unavyozidi kwenda falme yako kama ina nguvu zaidi watu wanaishia kukubali kua mungu wako ni sahihi kuliko wa kwao, huyu mungu wa wakristo wa sasa amekua very popular kuliko miungu mingine sababu tu alibebwa sana na falme kubwa kama za waroma. Ila yeye naye ni story tu hakuna lolote.
Ukitaka kuamini kua miungu yote imetungwa tu na haipo in reality soma vitabu vyao tu, anza page moja unafunua uone upuuzi uliojaa, very inconsistent, hapa unaambiwa alifanya hiki tarehe 1 page ya pili unaambiwa hakufabya hicho alifanya kingine 😂 muumba ulimwengu hawezi kua kilaza namna hiyo hajui hata kuandika kakitabu kuelezea story yake.
So at the end of the day mungu hayupo, hakuna aliyewahi kumuona, hakuna aliyeona muujiza wowote zaidi ya coincidences au kuchezewa mazingaombwe, wengine wana-hallucinate tu alafu wanakuja kusema ni mungu 😂 😂 dumb.
Ukiomba proof badala ya kuja na kitu kinachoweza kuprove wanakuja na kifungu kutoka kwenye kitabu chao feki, sio njia ya kuprove hiyo, ukitaka kuprove huwezi tumia kitu ambacho tunakipinga tumia source nyingine au tuambie tutengeneze experiment flani itakayofanya tuprove kua mungu kweli yupo.
Shida ni kwamba watu hawamini kwa sababu kuna uthibitisho Bali kuamini kuna taratibu zake ambazo ndio humfanya mtu aamini, sasa wewe ukija kumwambia akupe uthibitisho we ndio unakuwa na tatizo na kuelewa imani.Huu ni uzi mwingine tena sijaona bado mtu aliyeweza kudhibitisha mungu yupo.
Kwa nini mnashindwa kuthibitisha mungu yupo? Shida inakuja wapi?
Nani aliwahi kuthibitisha anachokiamini? Unaongea vitu visivyo na uhalisia hebu mumwambie atheist mmoja hapo ajaribu kuthibitisha kitu kimoja anachokiamini.Yaani Hawa jamaa sijui wana matatizo gani ' miaka nenda miaka rudi wanashindwa kuthibitisha kile wanacho kiamini kama kipo halafu walivyo kuwa hawana haya bado wana endelea kukiabudu hicho kitu ambacho wao mwenyewe wameshindwa kuthibitisha uwepo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia hivyo kwa sababu wewe ni slowpoke.Kama uthibitisho una definition ndani yake kwanini wewe unaniambia ni define mungu ni nini kisha unaniambia nithibitishe? Huoni kuwa hivyo ni vitu viwili vilivyotengana?
Ingekiwa uthibitisho una definition ndani yake basi usingetaka upewe definition na kisha uthibitisho badala yake ungedai uthibitisho maana definition ipo ndani yake.
Ndio maana nikasema kama kitu hukijui huwezi kudai uthibitisho kwanza.
Kwani huyo jamaa bado hajaelimika tu ...maana umempa shule kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora masuala ya kiimani hujulikana ni imani na husisitizwa hilo ila kwenye sayansi huwa jambo halielezwi kama kama maoni au mtazamo wa wakati huo Bali huchukuliwa ndio ukweli wenyewe kwamba limefanyiwa utafiti wa kisayansi ila ajabu baadaye unakuja utafiti mwengine na kuonesha ule ukweli wa kisayansi haukuwa kweli maana una makosa.Hata hiyo bible bado ina mapungufu mengi mbona ... Science inapokuja na tafiti za kuhusu jambo Fulani bado inatoa uwanja kwa watu wengine kulichunguza jambo hilo na kulitoa kasoro ..hii ni tofauti na masuala yenu ya kiimani "katika vitabu vyenu ukisoma maswala ya imani unapaswa kua mini tu bila fact ukianza kuhoji utaambiwa kuwa unalaana .huna akili umekengeuka etc .. Science haiko hivyo mkuu ndio maana kuna aliyegundua gari kisha akaja mwingine akagundua wipers na kuziweka katika gari hilo hilo .....
Halafu mbona huwa mnaiongelea science vibaya when it comes katika competition za dini na science wakati huo huo sisi wote dunia nzima tuna itumia science katika ili tuweze kuishi kuendana na mazingira ya kiulimwengu " hapo ulipo unatumia simu na kutype jf kitu ambacho kimesababishwa na science lakini hizo dini zenu zimeshindwa hata kuunda uma na kijiko still hamtaki kuipa science kipaumbele ....??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mie ni slowpoke ila hoja yangu iko palepale kuwa huwezi kudai uthibitisho kwa kitu usichokijua, umewezaje kuona kuna uhitaji wa kutaka uthibitisho wa kitu kabla ya kukijua?Nakwambia hivyo kwa sababu wewe ni slowpoke.
Define Mungu ni nini.
Thibitisha yupo.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kitu kipi sikijui, na unajuaje sikijui?Sawa mie ni slowpoke ila hoja yangu iko palepale kuwa huwezi kudai uthibitisho kwa kitu usichokijua, umewezaje kuona kuna uhitaji wa kutaka uthibitisho wa kitu kabla ya kukijua?
Sijakukusudia wewe binafsi nazungumzia kiujumla kuwa huwezi kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakijua.Kitu kipi sikijui, na unajuaje sikijui?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Wewe kwanza nyoosha Kiswahili chako.Sijakukusudia wewe binafsi nazungumzia kiujumla kuwa huwezi kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakijua.
Halafu sijajua kwanini unaniambie nithibitishe Mungu!
Yupoje?Nayeye hapajui?Ndo mungu hvyo hivyo alivyo
Mzee kuhusu wachawi mimi siamini na hakuna mtu wa kuniroga mimi..Labda ushawahi kuuona uchawi au hujawahi lakini mimi Sijawahi na naamini upoo na watu wote wanaamini upo na wewe ukiwemo. Wewe toka umekuwa umnaamini kuna Hewa lakini kamwe hujawai kuiona so sio kila kitu lazima ukione ili Uamini kipo lakini kaa Ukijua MUNGU YUPO na isingekuwa Mungu leo hii usingekuwa na jeuri ya kuandika ulichoandika.