Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Nacheka sana, hii ni lugha ya kutilia mkazo na kukat ya kuwa najiamini na hakuna kinyume cha hiki ninachokiandika. Hii ndio maana yake.

Kisha nikasemaje baada ya hapo ? Nikasema ya kuwa nimefunika kombe mwana haramu apite ili nikupe fursa ya kutuonyesha uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mola, lakini ukashindwa.

Nakukumbusha tu kwamba ulishindwa, hitimisho lako ni kuwa kwamba kitu ambacho hakipo hakithibitishiki, swali likaja, "Umejuaje ka hakipo? ". Mpaka unakufa huwezi kujibu swali hili.

Unakubali kwamba wewe uliandika "Kitu ambacho hakipo hakithibitishiki" au kama ulivyosema.

Sasa ndio maana, siwezi kupoteza muda wangu kukutaka unipe ushahidi wakati najua huna.
Ukisha jiamini hakuna haja ya kutilia mkazo kwasababu zipo ishara zinazojielezea namna ulivyo. Wewe umehisi natilia mashaka akili yako kwasababu na kutokana na maswali yayo kuuliza.

"Nikasemaje baada ya hapo ndio nini?"

Kukiwa kama kuna kitu ulikisema baada ya hapo hiyo inamaanisha ulichokisema kabla ya hapo hakipo?

Utasemaje nilishindwa hitimisho langu na wakati we ndiye uliridhika na majibu yangu kuonesha kua nimekujibu vyema kama ulivyotaka na ndio maana nikahitimisha mjadala?

Kuna mtu alikushikia panga kwamba ukubaliane na manibu yangu au ilikua ni hiari yako kutokana na facts nilizokupa mpaka ukadata?
 
Nimekwambia rejea mijadala yote tuliyo jadiliana mimi na wewe ikatokea nikakutaka ushahidi huo, hukuweka sasa kama unataka kupoteza muda, muda wa kupoteza sina kijana.

Hakuna goli lililohamishwa, pinga ukweli ninao uandika hapa.
We hiyo task unampa nani aifanye?

Una post zaidi ya 10k na mimi nina post zaidi ya 10k halafu unanipa kazi mimi so unataka nikapekue kutoka post ya 1 kwanza hadi 10000+ ili kutafuta post ya zurri inayoonesha sijajibu swali lake?

Wewe kama unasema hujajibiwa, na mimi madai yangu ni kwamba nimekujibu sa kwanini usiweke ushahidi hapa?

Mimi nasema nimekujibu swali hilo na ulikubaliana na majibu yangu ushahidi upo kwenye mada yako iliyotangulia kabla ya hii.

Sema mbele ya umma, unakubali au unakataa kua haukukubaliana na jibu langu bali nakuzushia tu ?
 
Una post zaidi ya 10k na mimi nina post zaidi ya 10k halafu unanipa kazi mimi, so wakati we ume-relax mi nikapekue kutoka post ya 1 kwanza hadi 10000+ ili kutafuta post ya zurri inayoonesha sijajibu swali lake?

Wewe kama unasema hujajibiwa, na mimi madai yangu ni kwamba nimekujibu sa kwanini usiweke ushahidi hapa?

Mimi nasema nimekujibu swali hilo na ulikubaliana na majibu yangu ushahidi upo kwenye mada yako iliyotangulia kabla ya hii.

Kama we unaupenda ukweli ebu sema mbele ya umma, unakubali au unakataa kua haukukubaliana na jibu langu bali nakuzushia tu ?
 
We hiyo task unampa nani aifanye?

Una post zaidi ya 10k na mimi nina post zaidi ya 10k halafu unanipa kazi mimi so unataka nikapekue kutoka post ya 1 kwanza hadi 10000+ ili kutafuta post ya zurri inayoonesha sijajibu swali lake?

Wewe kama unasema hujajibiwa, na mimi madai yangu ni kwamba nimekujibu sa kwanini usiweke ushahidi hapa?

Mimi nasema nimekujibu swali hilo na ulikubaliana na majibu yangu ushahidi upo kwenye mada yako iliyotangulia kabla ya hii.

Sema mbele ya umma, unakubali au unakataa kua haukukubaliana na jibu langu bali nakuzushia tu ?
Unaelewa maana ya kufunika kombe mwanaharamu apite ?

Tuokoe muda, si ulijibu hilo swali, tuwekee hilo jibu watu wasome.
 
Ukisha jiamini hakuna haja ya kutilia mkazo kwasababu zipo ishara zinazojielezea namna ulivyo. Wewe umehisi natilia mashaka akili yako kwasababu na kutokana na maswali yayo kuuliza.

"Nikasemaje baada ya hapo ndio nini?"

Kukiwa kama kuna kitu ulikisema baada ya hapo hiyo inamaanisha ulichokisema kabla ya hapo hakipo?

Utasemaje nilishindwa hitimisho langu na wakati we ndiye uliridhika na majibu yangu kuonesha kua nimekujibu vyema kama ulivyotaka na ndio maana nikahitimisha mjadala?

Kuna mtu alikushikia panga kwamba ukubaliane na manibu yangu au ilikua ni hiari yako kutokana na facts nilizokupa mpaka ukadata?
Naona unanirudisha na hoja huna.
 
Unaelewa maana ya kufunika kombe mwanaharamu apite ?

Tuokoe muda, si ulijibu hilo swali, tuwekee hilo jibu watu wasome.
Hicho ni kijibwagizo kinachotumiwa na watu ambao wamefinga utani

Kwaiyo unataka kuleta habari mpya hapa kua mimi nawewe ni watani siyo?

Unataka kuficha aibu yako ambayo nimekuumbua kupitia mwanya huo?
 
Kuwa serious kijana, nani amekwambia maneno hayo ?
 
Hicho ni kijibwagizo kinachotumiwa na watu ambao wamefinga utani

Kwaiyo unataka kuleta habari mpya hapa kua mimi nawewe ni watani siyo?

Unataka kuficha aibu yako ambayo nimekuumbua kupitia mwanya huo?
Umeniumbua tena ? Wapi hapo ?
 
Watu wanatumia kauli hii kusuluhisha magomvi, kuwa nasihi watu, wewe unaleta uongo na kuihusisha na mambo ya utani. Waulize Waswahili wakwambie ni wapi hutumika kauli hii, usijiandikie tu ilimradi bwana mdogo.
 
1.Ni vp uanze kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakijua kwanza? Mfano wewe hujui Mungu ni nini ungeuliza kwanza Mungu ni nini? Baada ya kujua Mungu ni nini ndio ungeona kuwa unahitaji kuthibitishiwa au hakuna uhitaji wa uthibitisho.

2.Point bado ipo palepale kwamba kwanini ukimbilie kuhitaji uthibitisho ikiwa kuna mazingira kama hayo?

Halafu mtu kusema Mungu wake ni kitu fulani hiyo haiwi definition ya Mungu.
1. Mbona unarudia swali nimekujibu kwamba uthibitisho una definition ndani yake.

Wewe unajua kanuni za kuanduka insha, kwamba kitu cha kwanza kuandika ni definition ya subject yako?

Kama hujui kwamba katika proof kuna definition, kwamba huwezi ku prove kitu ambacho hakina definition, basi una matatizo makubwa zaidi.

Define Mungu ni nini.

Thibitisha Mungu yupo.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Watu wanatumia kauli hii kusuluhisha magomvi, kuwa nasihi watu, wewe unaleta uongo na kuihusisha na mambo ya utani. Waulize Waswahili wakwambie ni wapi hutumika kauli hii, usijiandikie tu ilimradi bwana mdogo.
"Kusuluhisha Magomvi?"

Kwaiyo mimi nawewe tulikua na magomvi siku hiyo?

Iwe magomvi au kivyovyote utavyoamua kumaanisha ila lile neno halitengui kauli yako kua hukukubaliana na jibu langu
 
Mungu hayupo, mwanzoni ilianza kama story za hadithi tu, sema mabadiliko yanavyotokea falme nyingine zikaanza kutumia dini kama njia ya kucontrol watu, watu walivyo vilaza wakashika wanayoambiaa 100%, mwanzoni kulikua na miungu kibao ila muda unavyozidi kwenda falme yako kama ina nguvu zaidi watu wanaishia kukubali kua mungu wako ni sahihi kuliko wa kwao, huyu mungu wa wakristo wa sasa amekua very popular kuliko miungu mingine sababu tu alibebwa sana na falme kubwa kama za waroma. Ila yeye naye ni story tu hakuna lolote.

Ukitaka kuamini kua miungu yote imetungwa tu na haipo in reality soma vitabu vyao tu, anza page moja unafunua uone upuuzi uliojaa, very inconsistent, hapa unaambiwa alifanya hiki tarehe 1 page ya pili unaambiwa hakufabya hicho alifanya kingine 😂 muumba ulimwengu hawezi kua kilaza namna hiyo hajui hata kuandika kakitabu kuelezea story yake.

So at the end of the day mungu hayupo, hakuna aliyewahi kumuona, hakuna aliyeona muujiza wowote zaidi ya coincidences au kuchezewa mazingaombwe, wengine wana-hallucinate tu alafu wanakuja kusema ni mungu 😂 😂 dumb.
Ukiomba proof badala ya kuja na kitu kinachoweza kuprove wanakuja na kifungu kutoka kwenye kitabu chao feki, sio njia ya kuprove hiyo, ukitaka kuprove huwezi tumia kitu ambacho tunakipinga tumia source nyingine au tuambie tutengeneze experiment flani itakayofanya tuprove kua mungu kweli yupo.
 
Umeniumbua tena ? Wapi hapo ?
Weka mashahidi kama ushahidi umekushinda

Maelezo yako kwamba sijawahi kujibu swali lako ebu tafuta shahidi.

Na maelezo yangu niliyoyatoa kua ulikubalina na majibu yangu shahidi yangu ni wewe mwenyewe. Sasa weka nukuu yako uliyokubali majibu yangu halafu tafuta shahidi wako akane nukuu yako.
 
Mungu hayupo, mwanzoni ilianza kama story za hadithi tu, sema mabadiliko yanavyotokea falme nyingine zikaanza kutumia dini kama njia ya kucontrol watu, watu walivyo vilaza wakashika wanayoambiaa 100%, mwanzoni kulikua na miungu kibao ila muda unavyozidi kwenda falme yako kama ina nguvu zaidi watu wanaishia kukubali kua mungu wako ni sahihi kuliko wa kwao, huyu mungu wa wakristo wa sasa amekua very popular kuliko miungu mingine sababu tu alibebwa sana na falme kubwa kama za waroma. Ila yeye naye ni story tu hakuna lolote.

Ukitaka kuamini kua miungu yote imetungwa tu na haipo in reality soma vitabu vyao tu, anza page moja unafunua uone upuuzi uliojaa, very inconsistent, hapa unaambiwa alifanya hiki tarehe 1 page ya pili unaambiwa hakufabya hicho alifanya kingine muumba ulimwengu hawezi kua kilaza namna hiyo hajui hata kuandika kakitabu kuelezea story yake.

So at the end of the day mungu hayupo, hakuna aliyewahi kumuona, hakuna aliyeona muujiza wowote zaidi ya coincidences au kuchezewa mazingaombwe, wengine wana-hallucinate tu alafu wanakuja kusema ni mungu dumb.
Ukiomba proof badala ya kuja na kitu kinachoweza kuprove wanakuja na kifungu kutoka kwenye kitabu chao feki, sio njia ya kuprove hiyo, ukitaka kuprove huwezi tumia kitu ambacho tunakipinga tumia source nyingine au tuambie tutengeneze experiment flani itakayofanya tuprove kua mungu kweli yupo.
Labda ushawahi kuuona uchawi au hujawahi lakini mimi Sijawahi na naamini upoo na watu wote wanaamini upo na wewe ukiwemo. Wewe toka umekuwa umnaamini kuna Hewa lakini kamwe hujawai kuiona so sio kila kitu lazima ukione ili Uamini kipo lakini kaa Ukijua MUNGU YUPO na isingekuwa Mungu leo hii usingekuwa na jeuri ya kuandika ulichoandika.
 
"Kusuluhisha Magomvi?"

Kwaiyo mimi nawewe tulikua na magomvi siku hiyo?

Iwe magomvi au kivyovyote utavyoamua kumaanisha ila lile neno halitengui kauli yako kua hukukubaliana na jibu langu
Tuliza akili kijana, usome kwanza ndio ujibu hoja, nani amesema mimi na wewe tuna magomvi ?
 
Weka mashahidi kama ushahidi umekushinda

Maelezo yako kwamba sijawahi kujibu swali lako ebu tafuta shahidi.

Na maelezo yangu niliyoyatoa kua ulikubalina na majibu yangu shahidi yangu ni wewe mwenyewe. Sasa weka nukuu yako uliyokubali majibu yangu halafu tafuta shahidi wako akane nukuu yako.
Hujaona ufafanuzi wangu kijana.

Mimi nimekuwekea ushahidi kwa kauli yako ya kuwa "Kisichokuwepo hakithibitishiki",sasa uombwe ushahidi upi wakati huna na huwezi kujibu swali la "Umejuaje kama Mola hayupo ?"
 
Tatu, hajakatazwa mtu asihoji amekatazwa mtu kuhoji ujinga na katila kuhoji ujinga ndio tunawapata hao wazandiki, wajinga kama wewe, na mfano wenu.

Wewe ndiye CHIZI unayepanga kwamba YEYOTE anayehoji kutaka kujua kama Mungu ameumbwa eti ni Muongo, tapeli, asiyekuwa na taaluma nk, UCHIZI wako upo hapa, kwamba Unajifanya wewe ni Mungu kama Firauni kuingia ndani ya nyoyo za watu na KUJUA kwamba YEYOTE anayeuliza swali hilo ni tapeli nk, akili ya aina hiyo ni ya KIpumbavu KWELI na KIJINGA, ni ya kijinga kwasababu licha ya wewe kufundishwa kwamba sio sawa unachosema umeng'ang'ania tu KAMA KUPE upuuzi, ujinga na USHIRIKINA.

Sasa hapo ndipo utakapoona mjinga ni nani kati ya anaye uliza kuumbwa kwa Mungu na anayeshikilia kuwadhania waulizaji WOTE wa swali hilo eti wao ni WAONGO ,MATAPELI na WAJINGA.

Hiyo ndiyo shida ya kukaa vijiweni na kunywa alkasusi na kahawa ukidhani unaongeza OMEGA 3 kichwani kumbe ni bure.

Watu wa aina yenu ni kama kansa katika jamii kwa upotoshaji kamwe hamstahili kuachwa kuhadaa umma ni lazima takataka zenu ziondolewe mara moja pindi zionekanapo, takataka za unazookoteza mitandaoni hovyo kutoka kwa usiowajua na kuwaita eti WAALIMU WAKO huo ni ujinga na upumbavu na ukosefu wa AKILI kuokota CHOCHOTE bila ya upembuzi yakinifu. Zinduka wewe, mimi ni mtu mwema kwako.
 
Back
Top Bottom