Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Siwezi tangu lini?

Leo hii hutaki kuthibitishiwa mungu hayupo?
Hujawahi kuweza.

Sitaki kupoteza muda kwenye hakuna, na nimesha onyesha watu ni kwa namna gani huwezi hili na hutaweza, na sisi hatulei ujinga.
 
Ukiwa auamini Mungu yupo usihangaike kuuliza maswali ya aina hii we potezea maana wengi huishia kuwa walalamikaji na vichaa tu.

Na kama unaamini kuwa kuna Mungu basi imani yako na dini yako itakupa jibu la swali lako.
Poa.
 
Hujawahi kuweza.

Sitaki kupoteza muda kwenye hakuna, na nimesha onyesha watu ni kwa namna gani huwezi hili na hutaweza, na sisi hatulei ujinga.
Sijawahi kuweza au we ndo hujawahi kuniuliza swali hilo?

Kwanini usijaribu leo hapa kuuliza halafu tuone kama ni kweli siwezi?
 
Umejuaje hawezi?
Huyu member ananizushia habari ambazo mimi sizijui sa muulize huko alikodai aliniuliza nikashindwa kujibu ni wapi?

Anaweza kuweka attachment yeyote kuonesha sikuweza kujibu swali lake ili kuipa nguvu hoja yake kua mimi siwezi?

Ni wapi hapo mimi nilishindwa kumjibu hilo swali lake?

Hebu nisaidie kuuliza hayo maswali kwa huyo member jojina (zurri)
 
Sijawahi kuweza au we ndo hujawahi kuniuliza swali hilo?

Kwanini usijaribu leo hapa kuuliza halafu tuone kama ni kweli siwezi?
Nimeshakuuliza mara kibao, unajisahaulisha sio ?

Halafu hizi akili tumepewa bure unajua, kuzitumia jambo hili kwa mtu kama wewe ni kuitumia vibaya hii akili.
 
Huwa najadiliana nae sana na hajawahi kufanya hivyo, zaidi ya kuruka ruka, pili haliwezi sababu hamjui Mungu ambaye anadai hayupo, na hili ni ajabu sana katika ulimwengu wa kielimu, kumkuta mtu anamjadili asie mjua halafu anamkanusha huu ujasiri huwa nauona kwa hawa wajinga pekee.
umejuaje labda leo amejifunza sehemu akaweza??
Au huwa unajadiliana nae 24/7 kwahyo una uhakika hajapata muda wa kugain new information??
Au weww ni mungu ndo maana unatetea sana tusiulize kama upo?
 
Nimeshakuuliza mara kibao, unajisahaulisha sio ?

Halafu hizi akili tumepewa bure unajua, kuzitumia jambo hili kwa mtu kama wewe ni kuitumia vibaya hii akili.
Jishuhulishe na hoja uliyoulizwa habari za wewe kupewa akili hapa hazitakiwi hata kua muhtasari hazifai

Umeuliza mara kibao wapi?

na unauthibitisho gani katika hili ili watu wakuamini kua umkweli?
 
Kutokushuhudia kwetu sisi hakuonyeshi au hakuthibitishi ya kuwa hakuna uumbaji, na ulitakiwa ujue ya kuwa ulianza uumbaji ndio matokeo yakawepo.

Kama hadhira haijashuhudia lipi hitimisho juu ya hilo, kwamba ni la uongo au halipo ?

Nakuuliza swali moja au mawili, dunia imetokana pasi na chochote au dunia yenyewe imejiumba ?

Tutakuuliza kwanza ni nani "Superman" na kisha utuonyeshe kwa lipi wewe uwe "Superman" je kimaana au kivitendo ?

Sio kweli sababu kuna UHALISIA.

Hili unatakiwa ulitolee maelezo ya kina na utupe na uthibitisho.

Naomba unipe maana ya kuumbwa na uumbaji ni nini ?

Tuonyeshe katika Story simu inawezaje kuumbwa?

Hili ndiyo tatizo la kumjadili msie mjua. Muumbaji amejiwekea mipaka, na baadhi ya mambo akawafunilia waja wake wayafanye, ndio maana kilugha hatusemi "Simu imeumbwa, bali tunasema simu imetengezwa".
Story ni story ziwe za ukweli au uongo.
Naweza kutunga kakitabu ka story nzuri nikasema na simu iliumbwa.
Lakini katika uhalisia sio kweli
Sasa wewe nataka uniambie in yes/no answer sitaki siasa je, Mungu akiamua saivi kuumba simu huko aliko anashindwa?
 
umejuaje labda leo amejifunza sehemu akaweza??
Hawezi, kama unabisha wewe mwambie akuthibitishie kutokuwepo kwa Mungu.

Pili, nimetumia "Dhana al Ghaarib".
Tatu, angekuwa ana jibu angeonyesha tu hilo sababu nilipo anza nae ilikuwa anatakiwa afanye hivyo, lakini akawa anaruka ruka.
Au huwa unajadiliana nae 24/7 kwahyo una uhakika hajapata muda wa kugain new information??
Sijadiliani nae masaa 24,unajua kuna watu ni "Sikio la kufa", hawa wapo tunaishi nao. Kama angekuwa amepata taarifs mypa angeziwasilisha mapema maana kuna sehemu nilitaka afanye hivyo, rejea nilipo anza nae mjadala utaona hili.
Au weww ni mungu ndo maana unatetea sana tusiulize kama upo?
Huu utoto na ujinga, sijibu maswali ya UONGO.
 
Mi namshangaa anahangaika kunoa shoka kwa ajili ya kuangusha mgomba wakati teke moja tu linatosha

Namshangaa anavyohangaika hawezi mara hakujibu, mara sijui najadiliana naye mara nyingi wakati angeuliza hilo swali hapa angeepusha maswali yasiyo na msingi kama haya

Na bora hata angekua na evidence kwa anacho kidai, lakini ni maneno tupu hakuna uthibitisho wa kusapoti maelezo yake sa sijui amekuona we mjinga kwamba utakubali tu kipoyoyo
 
Ndio,ingawa nyingi tumerithishwa,imani ulokuta kwa wazazi wako ndo inakua yako.
Sawa, lakini ukishakua, ukishaelimika unao uhuru wa kufanya research binafsi ambazo zinaweza kukusaidia kubaki na imani ya wazazi wako au kuikana,,,sasa waafrika huwa hatutaki mtu akengeuke imani ya wazazi yaani kama vile binadamu ni mashine lazima afate algorithm fulani.

Na watu wenye ufinyu huu mdogo wa kufikiri ni kama mtoa mada ambaye hata ile fikra tu ya kuwa kuna uhuru wa mtu kuuliza swali kuhusu imani yake inampa kichefuchefu cha kuhara na kutapika
 
Jishuhulishe na hoja uliyoulizwa habari za wewe kupewa akili hapa hazitakiwi hata kua muhtasari hazifai

Umeuliza mara kibao wapi?

na unauthibitisho gani katika hili ili watu wakuamini kua umkweli?
Suala la kupewa akili lazima niliseme sababu natilia mkazo hoja na nina kuzindua, kwahiyo hili haliepukiki hapa, bali hapa ni mahala pake hasa.

Rejea katika mijadala yote tuliyo kutana mimi na wewe kisha ikatokea tukawa tunajadili uwepo wa Mola, swali hilo nimekuuliza.

Ithibati ipo mpaka muda huu hujafanya hivyo, na hapa hatupo kuwaaminisja watu, bali tupo kuufikisha UKWELI kwahiyo ukitaka utakubali usipo taka utatuachia UKWELI wetu.
 
Hawezi, kama unabisha wewe mwambie akuthibitishie kutokuwepo kwa Mungu.

Pili, nimetumia "Dhana al Ghaarib".
Tatu, angekuwa ana jibu angeonyesha tu hilo sababu nilipo anza nae ilikuwa anatakiwa afanye hivyo, lakini akawa anaruka ruka.

Sijadiliani nae masaa 24,unajua kuna watu ni "Sikio la kufa", hawa wapo tunaishi nao. Kama angekuwa amepata taarifs mypa angeziwasilisha mapema maana kuna sehemu nilitaka afanye hivyo, rejea nilipo anza nae mjadala utaona hili.

Huu utoto na ujinga, sijibu maswali ya UONGO.
unahamisha magoli kufosi ushindi?

huu msala ni wako inakubidi ukoamae nao mwenyewe sa unataka umsusie nani?

Weka hapa ushahidi unaonesha kweli sijawahi kujibu hilo swali watu wote waone
 
Suala la kupewa akili lazima niliseme sababu natilia mkazo hoja na nina kuzindua, kwahiyo hili haliepukiki hapa, bali hapa ni mahala pake hasa.

Rejea katika mijadala yote tuliyo kutana mimi na wewe kisha ikatokea tukawa tunajadili uwepo wa Mola, swali hilo nimekuuliza.

Ithibati ipo mpaka muda huu hujafanya hivyo, na hapa hatupo kuwaaminisja watu, bali tupo kuufikisha UKWELI kwahiyo ukitaka utakubali usipo taka utatuachia UKWELI wetu.
Swala la we kupewa akili ni ishara ya uoga hujiamini, umehisi kwamba nimetilia mashaka akili yako ndo maana unaji defend hapa kwa kuni prove wrong.

Mijadala yote nimekujibu na kumbukumbu yangu inaniambia mjadala wa mwisho wewe mwenyewe binafsi ulikiri kua nimejibu swali lako

Sasa unataka kupinga kua haukukubali majibu yangu?
 
unahamisha magoli kufosi ushindi?

huu msala ni wako inakubidi ukoamae nao mwenyewe sa unataka umsusie nani?

Weka hapa ushahidi unaonesha kweli sijawahi kujibu hilo swali watu wote waone

Nimekwambia rejea mijadala yote tuliyo jadiliana mimi na wewe ikatokea nikakutaka ushahidi huo, hukuweka sasa kama unataka kupoteza muda, muda wa kupoteza sina kijana.

Hakuna goli lililohamishwa, pinga ukweli ninao uandika hapa.
 
Swala la we kupewa akili ni ishara ya uoga hujiamini, umehisi kwamba nimetilia mashaka akili yako ndo maana unaji defend hapa kwa kuni prove wrong.
Nacheka sana, hii ni lugha ya kutilia mkazo na kukat ya kuwa najiamini na hakuna kinyume cha hiki ninachokiandika. Hii ndio maana yake.
Mijadala yote nimekujibu na kumbukumbu yangu inaniambia mjadala wa mwisho wewe mwenyewe binafsi ulikiri kua nimejibu swali lako
Kisha nikasemaje baada ya hapo ? Nikasema ya kuwa nimefunika kombe mwana haramu apite ili nikupe fursa ya kutuonyesha uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mola, lakini ukashindwa.

Nakukumbusha tu kwamba ulishindwa, hitimisho lako ni kuwa kwamba kitu ambacho hakipo hakithibitishiki, swali likaja, "Umejuaje ka hakipo? ". Mpaka unakufa huwezi kujibu swali hili.
Sasa unataka kupinga kua haukukubali majibu yangu?
Unakubali kwamba wewe uliandika "Kitu ambacho hakipo hakithibitishiki" au kama ulivyosema.

Sasa ndio maana, siwezi kupoteza muda wangu kukutaka unipe ushahidi wakati najua huna.
 
Sawa, lakini ukishakua, ukishaelimika unao uhuru wa kufanya research binafsi ambazo zinaweza kukusaidia kubaki na imani ya wazazi wako au kuikana,,,sasa waafrika huwa hatutaki mtu akengeuke imani ya wazazi yaani kama vile binadamu ni mashine lazima afate algorithm fulani.

Na watu wenye ufinyu huu mdogo wa kufikiri ni kama mtoa mada ambaye hata ile fikra tu ya kuwa kuna uhuru wa mtu kuuliza swali kuhusu imani yake inampa kichefuchefu cha kuhara na kutapika
fact
 
Back
Top Bottom