UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 17,491
- 8,790
Sikijui kitu kinaichoitwa ambacho hakipo."Ambacho hakipo"
nini hapo kinakutatiza?
Sikijui kitu kinaichoitwa ambacho hakipo."Ambacho hakipo"
nini hapo kinakutatiza?
Mzee maswala ya juzi na kila siku waachie watunzi wa kalendaHuwa sipendi maswali yasiyo na msingi na ndiyo hizi mada huwa hazina mafanikio kila siku tunarudia palepale, haiwezekani wewe uanze kujadili mada toka huko mwanzo halafu et sasa ndio useme hujui maana ya kitu unachokijadili. Bora ungekuwa na shida na definition ya Mungu maana wakati mwengine watu hutofautiana kwenye definition za maneno ila wewe unasema hujui kabisa hilo neno na ndio mara yako ya kwanza kusikia
Mi najuaSikijui kitu kinaichoitwa ambacho hakipo.
Huwa sipendi maswali yasiyo na msingi na ndiyo hizi mada huwa hazina mafanikio kila siku tunarudia palepale, haiwezekani wewe uanze kujadili mada toka huko mwanzo halafu et sasa ndio useme hujui maana ya kitu unachokijadili. Bora ungekuwa na shida na definition ya Mungu maana wakati mwengine watu hutofautiana kwenye definition za maneno ila wewe unasema hujui kabisa hilo neno na ndio mara yako ya kwanza kusikia

Haya sasa mimi ndo nafika sasaivi.........1.Ni vp uanze kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakijua kwanza? Mfano wewe hujui Mungu ni nini ungeuliza kwanza Mungu ni nini? Baada ya kujua Mungu ni nini ndio ungeona kuwa unahitaji kuthibitishiwa au hakuna uhitaji wa uthibitisho.1. Inawezekana hakijui, na hapo definition ni sehemu ya uthibitisho, maana unaweza kuanza kuelezea kitu bila kuki define ikawa huja make sense.
2. Inawezekana anakijua, lakini anavyokijua yeye na unavyokijua wewe ni tofauti. Na hapo ni muhimu definition iwekwe vizuri ili kuondoa mapishano. Mfano, kama wote mnajua rangi nyekundu na blu ni ipi, lakini unayoita wewe nyekundu, mwenzako anaita bluu, na unayoita wewe bluu, mwenzako anaita nyekundu, mnaweza kuwa mnataja kitu kile kile, lakini kwa majina tofauti, au mnaweza kuwa mnataja vitu tofauti, kwa jina lile lile.
Hapo definition ni muhimu.
Chukulia mfano, mnafanya litmus paper test kuangalia acidity na alkalinity. Halafu wewe unachoita nyekundu, mimi naita bluu, na mimi ninachoita bluu, wewe unaita nyekundu.
Hapo tutabishana hata kama tunaona rangi ile ile. Wewe utaiita nyekundu, mimi nitaiita bluu.
Kwa nini? Kwa sababu hatuja define na kukubaliana nyekundu ni nini na bluu ni nini.
define Mungu ni nini, kisha, thibitisha Mungu yupo.
Unaweza kum define Mungu wako ni ng'ombe kama wahindi, au ni gravity.
Ukimdefine Mungu wako hivyo, siwezi kukubishia kwamba yupo, katika muktadha huo.
Kwa sababu ng'ombe yupo, na gravity ipo.
Ili mjadala uwe na maana, inabidi u define Mungu ni nini kwanza. Halafu uthibitishe yupo.
Bila hayo, utakuwa unaendekeza ubishi usio msingi.
Unayaanzisha mwenyewe yakikushinda unasema nabadilisha mada. Ajabu mwenye kubadilisha mada ni wewe unae ingiza mambo ambayo hayahusiki, ukihojiwa unadai nabadilisha mada, jikite kwenye "Sophist",na mimi nilikutolea mifano ya kina Richard Hawkins.Hapa ndipo hupawezi kabisa, elimu yako ni ya; Muulizaji anakuwa tapeli na muongo nk, na elimu ya majini- mbwa na majini--paka shume.
Na usitake kubadilisha mada kijanja, tupo hapo hapo kwa nyie mnojifanya Miungu kujua yaliyomo ndani za nafsi za kila YEYOTE aulizaye kuhusu kuumbwa kwa Mungu eti, ni lazima awe muongo, tapeli nk!!!🤣
Mnataka watu wasiwe wanahoji kama jinsi nyinyi akili zenu zilivyokuwa dormant kwa kutokuhoji mnataka na za wengine ziwe hivyohivyo!!
Sasa bila kuhoji na kutafakari akili itafanya kazi gani??-- Allah mara kadhaa anauliza; A falaa ta'akiluun?? Yaani; je hamtumii akili??--- sasa kuuliza kutaanza vipi bila kutumia akili??, na unapouliza au kujiuliza ndipo unakwenda mbele zaidi kwenye tafakur.
Nyie ni watu wa ajabu kweli, mnataka watu wawe mabubusa kama nyie.
Karibu sana.Haya sasa mimi ndo nafika sasaivi.........
Nini maana ya Mungu?
Simchezo.Kuna mtu nlimuazima simu Nimekuta jamaa alikuwa anatumia id yangu.
Anyways acha chenga za pele
Mungu ni nini?
Ni sahani ya udongo yenye maua ya buluu.Haya sasa mimi ndo nafika sasaivi.........
Nini maana ya Mungu?
Hongera.Mi najua
Definition yake ni sahani ya udongo yenye maua ya buluu.Mzee maswala ya juzi na kila siku waachie watunzi wa kalenda
SASAIVI mimi sijui maana ya Mungu,
Kuna dhambi gani kudefine au kuna hela utakatwa?
Tutajie na utuambie umejuaje kama hakipo.Mi najua
Imani haipigwi rungu,ila kuna God na kuna god.Mungu yupi huyo hajulikani umbo?
Mungu wa wahindu ni ng'ombe
Mungu wa waarabu ana mguu mmoja na mikono miwili upande mmoja
Eeeh ndo kitu cha kwanza kuumbwa Tabari imeandika!
Unataka uthibitisho wa kutokuwepo mungu?Tutajie na utuambie umejuaje kama hakipo.
ImaraHongera.
Uzuri wa imani haina maajabu zaidi ya kubakia kuwa imani tu.Imani haipigwi rungu,ila kuna God na kuna god.
Nataka uthibitisho wa kile ulichosema unakijua.Unataka uthibitisho wa kutokuwepo mungu?
Hahaha Muhammad angezaliwa karne hii angesema Mungu aliumba Simu kwanza akawa anatype mambo yake.
Maajabu ni nini ?Uzuri wa imani haina maajabu zaidi ya kubakia kuwa imani tu.