Ndugai angepokea kijiti ingekua poa sana.
Najua ndugai alikua rafiki mkubwa wa magu, angetuendeleza pakubwa sana.
Ila nae akachelewa kupindua meza, akaamua kuiachia katiba iamue ilihali yeye ndio anaongoza chombo kinachotunga sheria.
Ningekua mimi ndio mgogo, wakati wao wanatetea kwamba jamaa yuko fiti sio lazima aonekane.
Mimi ningeenda mjengoni na cameraman(hapa ningemchukua hanscana kwa picha kali na vi drone vyake.)
Nikifika mjengoni navaa mavazi yangu ya kazi, nachukua ile Fimbo naiweka kwenye meza, nachukua picha ya Nyerer, mwinyi, mkaapa,j.k na magu naziweka mbele ya fimbo.
nautangazia uma kuna watu wanataka kuchezeq madaraka hivyo nchi iko chini ya bunge, kwa maslahi mapana ya wengi
Hapo hapo unayabwaga unatoa amri bendera ipepee nusu mlingoti, nchi nzima.
Wao wangehamaki, maana hawawezi kukanusha bila kutibitisha, wananchi hawawezi kuwaelewa.
Kipindi kile kina zitto wanahoji tayari ilishakua too late, hivyo kipindi kile kile ndio angekiwasha , hao wengine wa upande wa kiremba wanģeonekana wana mpango kweli.
Total control ingekua upande wake angekua anaamua tu.