Wamajanga
Senior Member
- Jun 24, 2014
- 133
- 47
Niliangalia mahojiano aliyokuwa anafanyiwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Rehema Chalamila maarufu kama Ray C alikuwa anamlalamikia mmiliki wa kampuni ya Global Publisher Bw Erick James Shigongo kwamba magazeti yake yanamfanya aishi maisha ya tabu kwa kuwa anajitahidi kuacha madawa lakini magazeti yake yanaandika anaendelea kutumia hay madawa ya kulevya kwa hiyo yanamvunja nguvu yeye na yanampa presha mama yake mzazi.
Ukiangalia ni kweli mana yeye mwenyewe Shigongo anasema anatetea vijana katika nyanja mbalimbali za kujikwamua katika umasikini lakini kwa mambo anayomfanyia Ray C kama kijana ni kama kumuharibia maisha yake Ray C na tena kama mmojawapo wa vijana.
Aache kumuandama ili maisha yake yarudi kama zamani.